Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,154
- 14,114
Sifa ya mwisho;Sifa na 6. Hawa mashabiki wanaishangilia timu yenye mashabiki wengi zaidi duniani
7. Wanashabikia timu yenye kuuza jezi nyingi zaidi duniani
8. Timu yao ina vikombe vingi zaidi vya ligi yauingereza kuliko timu zingine za ligi hyo.
9. Kuna uwezekano mkubwa wa hawa mashabiki kuendelea kufurahi kwa timu yao kuingia robo fainali ya UCL. Nyinginewengine wanajua na watazisema
Mbona unaanza matusijinsia yako please
halafu hapo mwisho unaposema hatuwezi kupambana na city wew ndio unaweza kupambana nao
Mashabaki wa man wanaanza kuchanganyikiwa kikamilifuivi mara ya mwisho city kubeba ndoo ni lini
Ndugu punguza hasira, kwani wewe ni shabiki wa timu gani,?Sifa ya mwisho;
Wana dozi mirembe kama wewe.
Mnaoshangilia uuzwaji wa jezi na historia wakati wengine wanashangilia makombe na mataji.
Kama ni historia ya makombe milan kawaacha kusikojulikana.
Sidhani kama kuna ambaye anamwogopa milan sasa.
MASHABIKI WA MAN U NIMECHONGA MIKOKOTENI
MUHINDI AKIWAFILISI MKUJE MSUKUME MPATE MUMUPELEKEE TENA ALIPIE MISHAHARA
GunnersNdugu punguza hasira, kwani wewe ni shabiki wa timu gani,?
Yule mzungu aliyekuwa kocha wa Azam aliwahi sema kuwa, kwa Tanzania hata mkata maua anaweza kukosoa mbinu ya mwalimu wa soka anayoitumia uwanjani.Daaa ndugu umeongea kwa uchungu na ukweli mtupu, mimi sijui wanaomtetea Mou kwa hii staili ya uchezaji wanapata wapi uhalali huo. Nadhani hata utamaduni wa klabu yao ule ambao mashabiki pale OT wamekuwa wakifanyia chanting Attack! Attack! Attack! Hawaujui.
al-haj pogba hahaha huyu jamaa bana kutwa kucha kuhangaika na nywele na masikio tu
Labda anamtangaza huyo kinyozial-haj pogba hahaha huyu jamaa bana kutwa kucha kuhangaika na nywele na masikio tu
Unaweza kuniambia ni wapi alipoandia matusi?? Jiangalie bwana mdogo, Usikurupuke.Mbona unaanza matusi
Mbona mijishipa inaanza kukutoka shingoni na kama unataka kulia hivi
Huo ndo ukweli na utabaki kuwa ukweli
Ukimind njoo unipige nipo zangu hapa mtongani kituoni nakungoja
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Mfunge west ham sasa kama nyie the gunners mpo timamu
Umekuwa adimu sana our first lady kheir lakini?Duhhh!!! Watu wengine wana frastresheni sana. Poleni wanajukwaa. Jana siyo leo, leo si jana, tunazidi kukaza mwendo tutafika tunapotaka.. GGMU.
Chifu, ingawa nami pia siyo shabiki wa José, lakini katika hili sikubaliani nawe.
Ndiyo, tactics leo hazikuwa sawa. Lakini huwezi kum-dismiss José kwa stats za leo. United ya SAF ilipigwa 6-1 na City hapo hapo OT. Unakumbuka stats zake? Unakumbuka stats za Barća vs. United UCL Finals?
Binafsi, naridhika sana na anachokifanya José. City have the best form in EPL, kama siyo kwenye ligi zote za Ulaya kwa sasa. Kufungwa na City, kunauma sana, lakini siwezi kusikitika sana pia.
Pengo la Pogba naona hujaliongelea! Yeye ndiye best United player, ukimtoa DDG. Kumkosa kwenye game dhidi ya on-form City siyo jambo dogo.
Ligi bado. City can’t sustain hii pace mpaka mwisho. Pace ita dip pale mechi zitakapoanza kujazana kwenye mashindano anayoshiriki.
So, keep it positive and optimistic bruv.
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]