Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vipi wewe west ham kafunga milango sasa najua hayo matokeo ya 0-0 ni mazur Sana kwa arsenal tunapokwambia city katoka ki bahat tunamaanisha pale ni old traford hakuna cha milango kufunguliwa arsenal una point zangu zingine 3 pale jiandae.
Upatie pointi wapi ngoja c tupo
Leo penyewe umeshinda kibahati
 
Sifa za mashabiki wa man u;
1.Hawajui mpira,wengi wao hufuata mkumbo
2.Wanaongea sana kuliko uwezo halisi wa timu yao utawasikia leo tunashinda 4g halafu wanashinda 1g au wanapata kipigo kabisa
3.Ni mabingwa wa kuvamia thread za watu hata kama wao hawana mechi halafu mambo yakiwaendea kombo huingia mitini tafikir hawapo
4.Wakifungwa mechi husingizia mchezaji fulani hayupo eg PP
5.Timu yao haijui kucheza mpira ila wanalazimisha ionekane inajua utasikia man city tuliwabana walitubahatisha magoli tuliwapa pasi sisi,mara hatutaki kuposses mpira tunacheza mpira wa mashambulizi wa fergie halafu wanaambulia shots on target 4 mechi nzima
Ushauri:Hamuwezi kupambana na city na sasa mnatakiwa kupambana ili mshiriki uefa next season
 
nani kavamia thread mwingine wewe dada???..

wewe ndo kila thread ya team zisozokuhusu upo
 
Sawa mrembo..
 
Wakuu angalieni hizi mechi inakuwaje tunarudiana na leicester city round ya pili EPL na huku burnley hatujacheza nayo hata round ya kwanza au mm ndo sijaelewa..???
 

Attachments

  • 20171214_074942.png
    49.2 KB · Views: 28


Unajipoza machungu Sawa mashabiki wa arsenal mnajua mpira msaidieni kocha wenu muongoze ligi toka juz upo huku ilikuwa unashangilia ushindi wa city akasahau kama moyes anakusubili toboa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…