Kwaio Mourinho wa chelsea kipindi ndo anajoin hio team alikuwa ana paki basi na hakuna mashambulizi kabisa? Mourinho yule ilikuwa akikutana na timu kubwa alikuwa anatafuta droo tu hakua na attacking mind? Alikuwa akizi approach timu kubwa kwa woga? Ndivo alivokuwa vile?Jose hajabadilika bado anacheza mfumo uleule tangu aanze kufundisha soka nashangaa unasema Mourinho wa Chelsea ni tofauti na huyu wa sasa
Hili ndio kosa ambalo masahabik weng wa manchester utd tunalifanya zama zimebadilika sio kila siku tutahtaj kile alichokifanya SAF bas makocha wengne nao wafanye hvyo hvyo hatutakuwa tunawatendea haki kabisaMan utd hatutaki kucheza kama Man city, tunataka tucheze kama Man utd, ile ye Babu Fergie, Babu Fergie nae possession footbal sio style yake, yeye ni mashambulizi tu, ukipata mpira unatakiwa ufanye ufike mbele, Babu Fergie hataki kutia udi kabisa...... Na sio kwamba hawezi au hajui kuchezesha Possession anaweza vizuri sana tu, Ila shida yake ni mashambulizi. Na hata ukiikuta Man utd imecheza na Man city na kufungwa, lakini Under Fergie unajua kuwa ama timu ilizidiwa maarifa, au ilikuwa siku ya kufa nyani tu. Lakini under Jose, unapokutana na timu kubwa yoyote, basi tayari ameshaset mentality yake kuwa tuondoke na point 1 ishatosha, THIS IS NOT MAN UTD!!!
Halaf hili jukwa la manchester la epl au ? Fungua na lakwako la man u la uefa umekula luku...
Sure mkuu...man city walitufunga ila hawakuwa strong kama walivyocheza na liverpool au chelsea,hawakutengeneza chance nyingi kama kawaida yao..nachotaka kusema ni kuwa city tulikuwa na uwezo wa kuwafunga,beki zao zilikuwa za kawaida sana.Wakuu Mou ni kocha mzuri kulingana na historia yake ila anamapungufu mengi..Nakumbuka siku tumetangaza kumpata huyu Mou sikuwa na furaha kihivo maana nilijua kuna ladha tutaikosa sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kupaki basi kwa city ambao walionesha kuwa na tahadhari mda mwingi....mpaka tufungwe ndo tuanze kushambulia,mimi binafsi nilipendelea zaidi aje Diego simeone wa Athletic wengi wakapinga kuwa anafika fainal ila hajawahi chukua kitu,jamaa anatengeneza sana wachezaji mentally na anacheza mchezo wa kuvutia sana tena sana...mou yeye anapandikiza wazimu wachezaji wanaenda kujitoa muhanga tukifungwa lawama tu...sikumbuki ni member gani alisema hadhani kama mou anastahili saaaana kuongezewa mkataba Man u maana inaumiza sana wakuu tumepoteza aina ya mchezo wetu na confidence yetu kabisa,,,man u sio ya kupaki bus man u ya kushambulia,man u sio wa kutegemea bahati...Mou anazingua sana man u kwa fujo za city tunaonekana sisi ni genge la wahuni fergie asingeweza kuja kufanya haya daima..
Ndio maaana nakwambia humjui Mourinho,approach ya Mourinho kwenye big match haijawahi kubadilika.SAF aliwahi kumfunga Mourinho mora moja tu kwenye EPL na huwa anafungwa na timu ndogo kuliko timu kubwa sababu ya hiyo approach since yuko Chelsea alivyoenda Madrid akarudi Chelsea same approach.Chelsea iliitwa timu ya kupaki bus sababu ya MourinhoKwaio Mourinho wa chelsea kipindi ndo anajoin hio team alikuwa ana paki basi na hakuna mashambulizi kabisa? Mourinho yule ilikuwa akikutana na timu kubwa alikuwa anatafuta droo tu hakua na attacking mind? Alikuwa akizi approach timu kubwa kwa woga? Ndivo alivokuwa vile?
Man utd hatutaki kucheza kama Man city, tunataka tucheze kama Man utd, ile ye Babu Fergie, Babu Fergie nae possession footbal sio style yake, yeye ni mashambulizi tu, ukipata mpira unatakiwa ufanye ufike mbele, Babu Fergie hataki kutia udi kabisa...... Na sio kwamba hawezi au hajui kuchezesha Possession anaweza vizuri sana tu, Ila shida yake ni mashambulizi. Na hata ukiikuta Man utd imecheza na Man city na kufungwa, lakini Under Fergie unajua kuwa ama timu ilizidiwa maarifa, au ilikuwa siku ya kufa nyani tu. Lakini under Jose, unapokutana na timu kubwa yoyote, basi tayari ameshaset mentality yake kuwa tuondoke na point 1 ishatosha, THIS IS NOT MAN UTD!!!
Sasa hapo hasira imeingiaje mi nimeulizaUna hasira sana mshabik wa arsenal tunajua tatizo liko wap
Povu lako hilo ulilolitoa kwenye post yakoZile Tatu za Man utd zimekuchanganya, povu liko wap sasa?
It is not manchester united,It is united of manchesterMan utd hatutaki kucheza kama Man city, tunataka tucheze kama Man utd, ile ye Babu Fergie, Babu Fergie nae possession footbal sio style yake, yeye ni mashambulizi tu, ukipata mpira unatakiwa ufanye ufike mbele, Babu Fergie hataki kutia udi kabisa...... Na sio kwamba hawezi au hajui kuchezesha Possession anaweza vizuri sana tu, Ila shida yake ni mashambulizi. Na hata ukiikuta Man utd imecheza na Man city na kufungwa, lakini Under Fergie unajua kuwa ama timu ilizidiwa maarifa, au ilikuwa siku ya kufa nyani tu. Lakini under Jose, unapokutana na timu kubwa yoyote, basi tayari ameshaset mentality yake kuwa tuondoke na point 1 ishatosha, THIS IS NOT MAN UTD!!!
True.Mourinho apewe credit kubwa mno hamna timu ngumu kuifunza kama united angefika kama guardiola kuanza kufukuza wachezaj aliowakuta ingekuwa story tofaut jamaa anaingiza falsafa yake taratibu leo anafanya kazi na lingard je chukulia kwa mfano toka timu ya 1 had 6 wapi lingard atapewa namba 10 kuanza kama sio united tu? Anafanya kazi kwenye mazingira magumu mana wote wakina scholes wanaangalia tu ni namna gan anawatendea vijana waliozalishwa na timu tofaut na city nani ataongea kama guadiola akiamua jambo lake?
Lakin watu wanaponda tu bila hata kuangalia mazingira tuliyonayo scholes hakukosea kwamba mourinho ahukumiwe baada ya madirisha matatu ya usajili kupita wanajua kazi iliyopo pale
Lukaku ni Striker. Hatuna striker mwingine mzuri kama Lukaku....usiniambie Ibra maanake hawezi kufanya hata nusu ya kazi anayofanya Lukaku.
Hivi lukaku wann kila cku