Manchester United (Red Devils) | Special Thread

pamoja na kwamba wapo vizuri ila bahati nayo inawabeba sana
Si kweli, hata Mourunho anasema hivyo ili kupata huruma kutoka kwa kwa watu kama nyinyi. Hivi kwa jana tulifanya nini kikubwa kinachoweza fanya sema city walishinda kibahati? Possession yenyewe ilikua United 25% na City 75%. Tulipiga mashuti mangapi golini, na tulitengeneza nafasi ngapi za wazi kulinganisha na wao hadi tuseme jamaa walikuwa na bahati? Mourinho anafeli kwa uoga wake halafu anasingizia bahati. Bahati tulikuwa nayo sisi tulipowafunga arsenal.
 
City hawezi kucheza hivi mpaka msimu unaisha. Labda kama aamue kuweka nguvu zote kwenye EPL! Bado yupo FA na UCL, kumbuka.


Mkuu Samahani Nakuuliza tu Kisport Kabisa! Hivi City atakapokuwa anacheza EPL, FA na UCL wewe United hutocheza League hizo utakuwa unarelax tu?
 
Race is wide open!! kila kitu kinawezekana

Kinacho hofiwa tu nadhani italazimika City Kusucrifice baadhi ya mashindano kwa expense ya EPL

FA cup/EFL wabaki na UCL/EPL

wakijifanya mtaka yote inakula kwao
Ila kumbuka unavyozungumzia mashindano mengine na timu zingine za top 6 zinacheza, labda kama na zenyewe zitalazimika kutoa sadaka mashindano mengine kwa ajili ya kumkimbiza City
 
Ukiwa unashangilia hiv uwe unajiuliza kakuacha point ngap city labda ubingwa uwe hauutak uishie kushangilia goli za salah may unapigania top 4
City ndo bingwa wa epl ilo halipingiki ila tunafurahi kulikua na kauli kua hatujawahi fungwa uwanja wetu mara cc ndo tutamsimamisha huyu mtu mara sisi ndo tunagombea nae ubingwa hahahaaa jana mtt kalale kwa jilani na "fyatu" vyake
 
Hivi man u tulifanya kikpi kikubwa na tishio hadi tuamini city walishinda kwa maandiko ya Mungu? Tukubali tu jamaa walituzidi kila sehemu kutokana na falsafa ya mpira tunaocheza na timu kubwa zote
 
Hakika nakuhakikishia siyo bahati bali jamaa wapo makini sana kwenye kujipanga na kutumia makosa madogo ya wapinzani wao tofauti na timu yetu ambayo inalazimishwa kukaa golini na bado inapopata vinafasi mshenzi bado wachezaji wanajikanyaga tu. MOURINHO ANAWAHADAA KWA KUDAI CITY WALIKUWA NA BAHATI TU, VITU VINGINE TUWE TUNA JUDGE KUTOKANA NA TULICHOKIONA.
 
Huo ni ukweli, katika magoli yote mawili hayakuwa yametengenezwa kwa mfumo. Yalitokana na dead balls ambazo kimsingi huwa ni bahati.

All in all United miaka yote huangaika kwa City, Liverpool na Arsenal.hata enzi za Fergie
 
Extended highlights: Man United 1-2 City - Manchester City FC
 
Hivi man u tulifanya kikpi kikubwa na tishio hadi tuamini city walishinda kwa maandiko ya Mungu? Tukubali tu jamaa walituzidi kila sehemu kutokana na falsafa ya mpira tunaocheza na timu kubwa zote
Magoli yao yalikuwaje?? Hapo ndipo ilipo hoja. Uchezaji wa United ni wa kiufundi sana japo watu wanachukulia powa sana.

Mpaka Pep anacheza na beki watano so kawaida.

Movement na derribling za Debruyn hazikuwepo. Only Sterling was active
 
2011/2012 review
United then went on an eight-match winning streak to open up an eight-point gap at the top, but two defeats, including one courtesy of a Vincent Kompany header, against City, and a 4-4 draw against Everton left their rivals ahead on goal difference going into the final match.

Unajua kilichotokea

City took on QPR, still not safe from relegation, while United faced mid-table Sunderland. Wayne Rooney's goal gave United the win they needed and Djibril Cisse and Jamie Mackie cancelled out Pablo Zabaleta's opener at the Etihad Stadium to leave United on the brink of a 13th Premier League title.

Then, against 10-man QPR following Joey Barton's dismissal, Dzeko levelled in the 92nd minute and, with virtually the last kick of the match, Aguero's cool finish made City champions. Fans streamed on to the pitch as a historic first Premier League triumph was confirmed.

Katika football kila kitu kinawezekana...kama huamini waulize wazee wa kubeti....
 
Huko mwezi wa nne nadhani utakuwa usharudi nafasini kwako zamaaani
Ww umfunge gunners kwa mpira upi hata kama mkiotea kama last week hamuwezi kutufunga
Kwa sahivi nategemea timu zingine kugawa dozi kwenu,city ashafungua njia
Recall;Mashabiki wa man mnaongea kuliko uwezo halisi wa timu yenu
NB;Sahauni kuhusu ubingwa
 
5 goals za city bado zinakugegeda
 
Tetesi
SHAW ADAI MALIPO ILI AKUBALI KUONDOKA UNITED


Luke Shaw atakubali kuondoka Manchester United ikiwa klabu hiyo itamlipa paundi milioni 5 kufidia hasara za mapato yake, kwa mujibu wa = Sun .
Mchezaji huyo asiyepewa nafasi chini ya uongozi wa Jose Mourinho, anatarajiwa kuwekwa sokoni Januari. Akiwa hawezi kudai kulipwa ujira kama anaopokea Old Trafford kwa klabu nyingine, Shaw ataidai United kufidia kiasi kitakachopungua kabla ya kuondoka.
Newcastle United ni moja ya klabu zinazotajwa kuitamani huduma ya beki huyo mwaka mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…