Binafsi niliexpect plan kama hii...city sio wa kuwapakia basi....acha tuwashambulie ili nao wazuie na wapunguze mashambulizi kuja kwetu.Mourinho ameona leo acheze attacking football labda kuwafanya City wasifikilie kushambulia, ingawa option hiyo inaweza ku - backfired ila ngoja tuone itakavyokuwa
Inatoka moyoniHii itoke moyoni tu....sio kutuwangiax2.
Man City anapigwa 2 bila.Sipokei simu hadi Game iishe.
Leo ni 1-1
Mpira dakika 94.
We jamaa umetabiri vizuri sana kati ya liver na Everton wata droo naamini kupitia utabiri huu utatusaidia MAN U kushinda.Saa moja na nusu boss
Chelsea jana kapoteza point 3, Arsenal leo kapoteza point 2, baadae kidogo Liverpool atapoteza point 2, Man City atapoteza point 3 na Man Utd atapata point 3
Ikifika mwezi wa 5 tutaona nani yupo juu
GGMU
We have two ball winners Matic and Herrera, who is our playmaker? Mata yuko bench angefaa hapo katikati kuwa mchezeshaji na mtu wa kukaa na mpira.Mikhi hajawahi kucheza vizuri big match tangu atue United,last season game ya City alichemsha sana akatolewa half time.Kama Pogba au Fellaini angekuwepo angefit sana game ya leo
Angalia post yangu ya mwisho kabla ya hiiWe jamaa umetabiri vizuri sana kati ya liver na Everton wata droo naamini kupitia utabiri huu utatusaidia MAN U kushinda.
Kompany na Otamendi weupe sana. Timu yao inashambulia sana hawapati kashkash. Mou analijua hilo ndio maana kawaweka Rashford na Martial. Watakimbizwa hao hutaamini.Najaribu kucheki defense line na centre line ya M.city Vs forward ya Man untd..
Man tuna kazi sana ya kufanya. Beki na centre line na man city si ya kitoto.
Hii kitu sijui ina sababishwa na nini kwa kweli. Mie hapa natetemeka kama nimeshikwa ugoni...ila game ikianza huwa natulia. Sijui ndio mapenzi hayo??Kadri muda unavyoseogea na mapigo ya moyo yanaongezeka najikaza kiume. Ila tutashinda