Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Nimepita huko kutoa pole na rambirambi zangu ila ninavyoyajua maua ya humu (sister na everlenk )wakitimba huko itakuwa tabu maana huwa wana double matanga.
Tumewaagiza watunzaji wa uwanja wasifanye juhudi zozote kuondoa hio barafu hadi kesho saa sita mchana!
😀Tumewaagiza watunzaji wa uwanja wasifanye juhudi zozote kuondoa hio barafu hadi kesho saa sita mchana!
Hatuna shabiki wa darajani kama wewe. Umekosea kutambulisha weweMimi nishabiki wa darajani lakini naomba mancity aolewe tu iliapunguzwe speed.viva Man U,tukopamoja.
Huyu bibie first lady wetu amekuwa adimu sana humu jamviniHivi everlenk yupo?
Mshaanza kuogopa mechiTumewaagiza watunzaji wa uwanja wasifanye juhudi zozote kuondoa hio barafu hadi kesho saa sita mchana!
Mmmmmh...Nawatakia mchezo mwema ndugu zangu!
Man City wameisha choka(rejea mechi 3 za mwisho)ni muda muafaka sasa kuwaweka kibra!
Mungu awabariki sana Man U leo
Mshinde!
Nani bado hapa hayaogopi Majogoo
Haya mkuu. Mtatupiga mangapi?Kesho tutakapiga ka man cty
Haya mkuu. Mtatupiga mangapi?
Damu damuWewe ni shabiki wa Man City?