cosmonaut
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 1,392
- 2,770
Mkuu kuna uzi special wa man citu.........Kuingo wetu matic nae hamna anachokifanya uwanjani
Mkuu kuna uzi special wa man citu.........Kuingo wetu matic nae hamna anachokifanya uwanjani
Mimi ni man u AsiliaMkuu kuna uzi special wa man citu.........
Alinadirika baada ya kurudi kipindi cha pili. Tatizo tukishambuliwa huwa anakimbiza badala ya kukaba.Hukumtendea haki kabisa Mata mkuu!
mshikaj utakua umebet wewe na umempa man city akiba yako yote ya benki sio bure😀😀😀Mourinho ni Mteja wa guadiora huwa anapigwa hadi sana fuatilia head to head wakikutana huwa nini kinatokea?
hahaaha tena meli itakayo kuwa jirani na kipa inaitwaKwa Arsenal tu hawa vibonde alipark semitrailer. Kwa City atatupia meli tatu kabisa. Dawa ni kumatch style ya City kwani hata Mourinho ana wachezaji wenye uwezo huo. Tatizo lake hana guts hizo.
mmmmh!Guadiola kapoteza match ya juzi uefa kwa sababu ya match ya J2 majembe yote yalipumzika yasiumie.ushindi wa mourinho ni droo.utabiri wangu MAN 0 - CITY 3
Naona bado unaendelea na mchezo wa kufungua account mpya ili uandike pumba zako,endelea but kuna siku hutaweza ku-access JF foreverIla Manchester united kwann 67 ya mashabiki wake ni hawajitambui?
Inakuuma sana man u ukipondwa sioNaona bado unaendelea na mchezo wa kufungua account mpya ili uandike pumba zako,endelea but kuna siku hutaweza ku-access JF forever
Ila huwa wajinyongi kama wa timu ileeeee.Ila Manchester united kwann 67 ya mashabiki wake ni hawajitambui?
Uko sahihi sana johhata dawasco wakitaka kukata maji hawatembelei nyumba hadi nyumba na kufunga mabomba, just wanafunga bomba kuu na nyumba zinakosa maji.
hapo silva na de bruyne ndio wapishi wakubwa, ukikamata hao waliobakia watapata tabu kucheza sababu wao wanataka wapikiwe then wafunge.