
😀😀😀😀😀😀 dah ila sisi mashabiki tunashida sana jamani......Hata siku ya mechi ya liverpool zisingefika goli tano kama asingetolewa mane mapema kwa red card. City angeweza kupigwa siku hiyo.
Hapa nakubaliana kabisa ila ngoja tusubiri siku hiyo ifike na zile dk 90Hii game Man city anafungwa kwa counter attacks
Mitetea tuu.Hongereni kwa kuingia round ya pili,hakika mlistahili
Je bado kuna team Ulaya inapenda kukutana na Majogoo playoffs?
UEFA hawapendi kupoteza hela.Sijui kama hatutaangukia kwa Madrid au Bayern
juveSijui kama hatutaangukia kwa Madrid au Bayern