haka kagoli kaleo bado hakafuti makosa na nafasi anazochezea, ni mzito uwanjani, kuna wakati huwa nalazimika kuaachia mechi njiani sababu yake maana anaboaJamaa ana mchango zaidi ya magoli. Leo kafunga pia kasababisha goli la pili.
tafadhali sana usimweke De Gea kundi la lukaku, kuna watu wanajua wajibu wao uwanjani, hata akifungwa tunaona kweli ni halali, nahata akifanya uzembe ni mara moja moja sanaMashabiki maandazi bana hawana shukran wala subira kisa wanapresha za kuchana mikeka yao. Mata,lukaku na wengine wanacheza vizuri tu. Ipo siku watu watamlaumu de gea na kuanza sema hana viwango. Hizo bet zinawachizisha sana.
kuna umuhimu wa lukaku kuvunjuka mguu asicheze ligi nzima labda atapata akili maana mzigo hatuna pa kuupeleka
tafadhali sana usimweke De Gea kundi la lukaku, kuna watu wanajua wajibu wao uwanjani, hata akifungwa tunaona kweli ni halali, nahata akifanya uzembe ni mara moja moja sana
Yani huyu lukaku ni mzigo sana
Kakujibu sasa nashukur kapata confidenc Kwa game ijayo
we mpende sana tu. Binafsi naona haitendei haki thamani yake.Mkuu nakuonea huruma sana bila juhud za lukaku pale mbele wakina martial wangekuwa na wakat mgumu sana fuatilia toka game ya spurs had leo ushiril wake ktk vyanzo vya magoli hakosi kuwemo mnaangalia kufunga tu angalieni Na movement zake .
NAMPENDA SANA LUKAKU.
Weka magoli yake ktk mechi zote toka aje united na assist halafu tupime ubov wa lukakuwe mpende sana tu. Binafsi naona haitendei haki thamani yake.
btw tunachoshukuru ni kujihakikishia kuingia 16 bora.
Tutapangwa na Real Madrid, Juventus au Bayern au mzembe mwingine atakayemaliza # 2 kesho asiyetoka EPLTukutane 16 bora.
we mpende sana tu. Binafsi naona haitendei haki thamani yake.Mkuu nakuonea huruma sana bila juhud za lukaku pale mbele wakina martial wangekuwa na wakat mgumu sana fuatilia toka game ya spurs had leo ushiril wake ktk vyanzo vya magoli hakosi kuwemo mnaangalia kufunga tu angalieni Na movement zake .
NAMPENDA SANA LUKAKU.
Aiseee!!Yani huyu lukaku ni mzigo sana
mamluki hamkosekani humu ndani....mnaboa sanakuna umuhimu wa lukaku kuvunjuka mguu asicheze ligi nzima labda atapata akili maana mzigo hatuna pa kuupeleka
Hata Ronaldo haitendei haki thamani yake msimu huuwe mpende sana tu. Binafsi naona haitendei haki thamani yake.
btw tunachoshukuru ni kujihakikishia kuingia 16 bora.