Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamaa ana mashauzi sana huyu. Huwa anajiona bora sana pumbavu zake.
Msimu wake wa kwanza epl baada ya kufunga mechi za mwanzoni aliulizwa ameona challenge gani epl.

Jamaa akajibu anapata tabu tu kuendesha gari lake maana ni mfumo tofauti na spain.

Alijiona kwenye soka amemaliza kilicho fuata anakijua
 
Timu ukiona inamnadi Kumuuza Mchezaji ambaye ana Mkataba Mpaka 2021 bila ya Kutanguliza Kipengele cha "NOT FOR SALE".... Basi mnunuzi unatakiwa ufikirie Mara mbili...!

Huyo na walker walikuwa na mgogoro na kocha wao wa kimaslahi
 

Kamanda baill alikuwa nje pia kiungo chetu cha ukabaj naona hakikuwa imara sana

Ila mourinho huwa anamletea sana masihara wenger pamoja na ule mpira mwingi wa arsenal mourinho hakuhangaika sana benchin muda mwingi kakaa na kucheka tu alikuwa anayajua madhaifu ya mtu wake
 
Pogba angekuwepo ningekwambia tunawafunga bila tabu. Ila Pogba kufungiwa imenipasa kukiri lolote linaweza kutokea.
City wanafungika....
Siku hiyo ndio utajua kwanini Mou anaitwa "the special one"

Akiwa Chelsea, drogba ana red card na wamefungwa 2-1 first leg na drogba akiwa on fire.

Kilichowakuta 2nd leg barca hawatakisahau.
 
Itakua na akili hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…