Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwenye red hapo lmao!! Mkuu mechi moja tu ushaconclude kipa wa jana ni mkali? Lindegaard pamoja na saves zake ball distribution zake ni awful awful awful.
 

Wats ur point dude?..afu hujamalizia alichosema SAF..kuwa 'ma glad tht shows we have good goalkeepers....asa ulitaka adake Chamakh au Aluminium? Nadhan hujui team rotation za SAF ww...
 
Tatizo mnangenga sana,arsenal can't hold their wins,what about you?,utasikia ooh,game hatukuipa umuhimu!

Tuwapige Wiki na plus moja afu tusiongee? acha utani kijana wangu Jagi...BTW hvi unaweza kufananisha Manure na nyie wababaishaji wa london katika ku hold wins?, u gotta b kiding dude.
Embu tulia, tunaingia kwa kikao now kwa ajili ya maandalizi ya operation ya KICHWA kwa Peasant, nasikia ana hali mbaya wodini.
 
<br />
<br />
Ohoo,ati nini operation!mi simo.
 
Arse8 wameshindwa kulinda goli(clean sheet) kwenye mechi 18 za ulaya


17/9/08: Dynamo Kiev 1-1 Arse8

21/10/08: Fenerbahce 2-5 Arse8

10/12/08: Porto 2-0 Arse8

11/3/09: Roma 1-0 Arse8

7/4/09: Villarreal 1-1 Arse8

29/4/09: Man Utd 1-0 Arse8

16/9/09: Standard 2-3 Arse8

20/10/09: Alkmaar 1-1 Arse8

9/12/09: Olympiakos 1-0 Arse8

17/2/10: Porto 2-1 Arse8

6/4/10: Barcelona 4-1 Arse8

28/9/10: Partizan 1-3 Arse8

3/11/10: Shakhtar 2-1 Arse8

23/11/10: Braga 2-0 Arse8

8/3/11: Barcelona 3-1 Arse8

24/8/11: Udinese 1-2 Arse8

13/9/11: Dortmund 1-1 Arse8
 

Achana nao hao, wanabisha tu bila data zozote
 
Kwenye red hapo lmao!! Mkuu mechi moja tu ushaconclude kipa wa jana ni mkali? Lindegaard pamoja na saves zake ball distribution zake ni awful awful awful.

Ni kweli Lindergaard ni mzuri lakini not to that extent compared to De Gea. Watu wamekuwa wakitoa conclusion bila kuwa na supporting evidence, wanapiga kelele kwa de Gea kufungwa goli 3 tu wakati kipa wao wanaomsifu kuwa mzuri keshapigwa goli 10 hadi sasa
 
tumena vyema naamini tutamaliza vyema ... tuko kitimu zaidi
 
Key battle: Wayne Rooney v John Terry: Wayne Rooney, the Samson of the Premier League, is in the form of his life with eight goals in the opening four games of the season, more goals than any team other than Man City, not to mention the two he scored against Bulgaria. England captain John Terry will know all about the threat the powerful striker poses and will have to be on top of his game - perhaps the reason he was rested for the Bayer Leverkusen game.
 
Man Utd: De Gea, Smalling, Jones, Evans, Evra, Nani, Fletcher, Anderson, Young, Rooney, Hernandez. Subs: Lindegaard, Berbatov, Giggs, Park, Carrick, Fabio Da Silva, Valencia.
Chelsea: Cech, Bosingwa, Ivanovic, Terry, Cole, Ramires, Meireles, Lampard, Sturridge, Torres, Mata. Subs: Turnbull, Luiz, Romeu, Mikel, Malouda, Lukaku, Anelka.
 
Kiduku stail kumbe swaga siku iz ulaya?..lols!
 
Sijui niseme mapema??? Though inaonyesha offside lakini ndo hivo tena..... KIMOKO..................Man 1 - chelsea Bila.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…