Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna ile free kick ya ozil,young aliichungulia alafu faster akajiposition na kuzuia kwa kichwa

Pale Young Ndiyo niliposema ingawa Hakuvaa [HASHTAG]#Armband[/HASHTAG] lakini Najiamini Kusema Alifanya Jukumu la Kumfanya yeye sahihi Kwa Jana alikuwa Captain Wa Mchezo...

Kwani Ni Wazi De Gea hakuwa Katika Position Pale na Aliishia Kuutazama Tu Mpira Unaelekea Nyavuni!
Lakini Young ingelikuwa Bongo ningesema Ozil kafanya Hujuma Kwa Kumtonya Young Napiga pale nenda ukakae Coz ilikuwa ni Akili Ya Ziada aliyoifanya Young Ambayo Si Rahisi Mchezaji Kuifikiria Wakati wa Set-piece kama hile.....
 
ahhahaahhahaahahahahhahaahahahahahahahahahhaaha
 
Baada ya mechi hii nimeamua kutoka Arsenal na kuhamia Man U kuunga mkono juhudi za Mourinho kuutafuta Ubingwa, maana kila anachofanya Mourinho ni yale yale tuliyokuwa tunayapigania huku huku kwa miaka mingi, hivyo hakuna haja ya kuendelea kupingana na Man U. Narudi Nyumbani,,walai ukifungwa mtaani Kuna manenooo
 
 
Wazee wa kupaki bus na matairi mmeng'oa kabisa haf mnashangilia ushindi aibu aise
Mkuu aseno w apiga mashuti 14 langoni na 8 pembeni, hilo basi labda lilipakiwa upande wanaokaa benchi la ufundI na makocha...........
 
Na Kuhusu DE GEA kama umeniQuote Mimi basi you are Wrong...
De Gea Namjua kama ni Best na Wala sijawahi Mbeza! Namheshimu na Ndiyomana Natamani Real Wamnunue ili asiwepo EPL Kwa sababu ya Ubora Wake...

We jamaa kama sio mchawi basi utaja kuwa mchawi maana ni wachawi pekee wenye roho kama hizi. Roho mbaya tu.
Sasa si afadhali ungesema bora mumnunue ninyi Liverpool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…