unahangaika na limbukeni hao mdau....achana naoHalafu kuna watu wanasema hawaajui haawaoni Lingard anafanya nini! Mourinho ndio keshapata formula mnaopenda wachezaji kwa mapenzi binafsi wasubirini Carabao Cup....
Hulali mkuu. Hongereni japo mlikuwa na upepo kuliko ubora.bado hujaona kikosi cha kuichapa aseno eeeeh
Ndio bado naomba. Man City huyu hapabado unaomba tu
halafu lacazete akapewa rojo ila alishindwa kummudu kabisaaaaLeo nimeona lindelof alikabidhiwa sanches
DeGea ataenda kwasababu ni muhispania nothing else.Yule boss wa madrid atavunja kibubu kwa de gea yaani kwa moto huu madrid watatumia njia yoyote wampate kipa wetu pesa mwanaharam kabisa huyo ndo maana halisi ya mlinda mlango sio shati ya arsenal lile . [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Asante MkuuNenda pale dukani kwa Mangi kachukue soda nimeshailipia, au chukua mbili kabisa kwa furaha
Baada ya mechi hii nimeamua kutoka Chelsea na kuhamia Man U kuunga mkono juhudi za Mourinho kuutafuta Ubingwa, maana kila anachofanya Mourinho ni yale yale tuliyokuwa tunayapigania huku Chelsea kwa miaka mingi, hivyo hakuna haja ya kuendelea kupingana na Man U. Narudi Nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23]