SawaKitambo sijapita hapa. Nimeleta taarifa tu, Kwamba majogoo tushampa mtuna tunapunga upepo pale juu. Niwatakie sare njema maana sijaona kikosi cha kuichapa aseno hapo.
kwani mo ndo kawaambia wachezaji wabadirike au mbona hivyo nyieTumeshinda sawa ila mpira anaocheza Mou ni wa kipuuuzi.. tungeendelea na momentum ile ile tulioanza nayo hawa walikua wanakufa nne mpk half time, coz walikua washapanic tayari.
Wachezaji wenyewe hawako serious. Wanaona mechi imeisha, inassikitisha hawajajifunza vs watfordBahati tu, Mou aangalie hawa wasimiliki mpira sana watarudisha goli hizo
Pogba anaonekana ana uchovu sana wa mechi nahisi mikhy atasaidia kwa counter attack
kwani mo ndo kawaambia wachezaji wabadirike au mbona hivyo nyie