Nimeshatabiri, Man utd 2: 0 Arsenal
Kabisa yaan mabek wakiokoa mipira inaenda kwa adui, ila lingaard anatimiza majukumu yake ndio maana makocha wanampenda.Mabeki wanaokoa kizembe mipira ya kona. Wanapiga vichwa mipira inabaki ndani ya eneo la hatari
Adui Muombee Njaa. Mi naomba leo mfungwe magoli mengi yan hata draw kwenu isiwezekane.
Eeeh Mungu Sikiliza Maombi Yangu.