Another man of the match performance from a keeper....leo mlikuwa mnapigwa goli kibao kama De gea angekuwa golini, asingeweza kusave zile shots za chini.
Another man of the match performance from a keeper....leo mlikuwa mnapigwa goli kibao kama De gea angekuwa golini, asingeweza kusave zile shots za chini.
Ryan Giggs: Paul Scholes is one of a kind .... ..
OOOps nasikia mlicheza leo ... ...
khe khe kheeeeeee ungo wangu ulipata hitilafu Germany,
hivyo nimepoteza baadhi ya ma-files najaribu kuyapata tena ..... . msikonde.
That was a stratergic results for Ferg koz alikuwa anaangalia next game na chelsea, then midweek kuna mechi na Leeds na weekend tena kuna mechi nyingine so angewaambia wachezaji wacheze kwa nguvu wangechoka ndo mana ametumia wachezaji wazoefu wengi ili wasipoteze game tu