Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Inaleta kujirejistaa alafu cjui credit card sasa nayatoa wapi
mkuu mbona mi nazipata link kama inavyo onesha hapa?


siku nyingine ukitaka kupata gem yoyote live andika jina la timu mfano man u kisha malizia natotalsportek iwe hivi
man u totalsportek kisha google itakuja totalsportrk.com na link kibaao karibia 40+ kama huamini andika hivyo sasa uone maajabu. mimi nipo nastream right now
 
Lingard anacheza robo tatu ya uwanja making things happen...Mata hawezi huu mziki, ni mzuri technically ila inabidi kuwe na wahangaikaji wengine.
Mkuu ukisema Mata hauwezi mziki wa wa kucheza uwanja mzima utakuwa umeamua kudanganya tu au umeamua tu kusema hivyo kutokana na kwamba tunaongoza bao tatu mpaka sasa...

Ila mimi binafsi uniambie Lingard amtangulie Mata kwasababu yoyote ile naona wazi kwamba unanidanganya (ni mtizamo wangu)

Ukiangalia sana kwa mchezo wa leo kiukweli unakuta kwa namna fulani bahati imecheza kwa nafasi kubwa kulinganisha na ufundi na mipango ya timu. Angalia kuanzia goli la kwanza mpaka la tatu. Hapo mwanzo uliongea kitu cha msingi sana kwamba Watford wanacheza mchezo wa kushambulia hivyo kutuwia rahisi sisi kufanya mashambulizi ya kushitukiza hii ni kwa Magoli yote matatu ukijumuisha na goli la pili ambalo limetokana na Pogba kukokota toka katikati ya uwanja mpaka mpaka karibu na box la Watford alipowekwa chini...

Hii ndiomaana nasema kwa sehemu kubwa mechi hii imechezwa na bahati kwa upande wetu ukilimganisha na mipango na ufundi wa timu.

Yote kwa yote ushindi ni muhimu kwetu
 
Mata huwa anapangwa na still timu inastrugle,Game ya Huddersfield Mata alipoteza mpira jamaa wakafunga goli la pili.Kwenye professional football ukipewa nafasi itumie ukizembea unapigwa bench
 
Una chuki binafsi kwa Lingard na mapenzi binafdi na Mata, hisia zikiingia huwezi kuangalia kitu kiuhalisia. Usiku mwema.
 
mara nyingine tusiingilie maamuzi ya kocha,tuangalie tu outcomes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…