Phil Jones ana uwezo wa kucheza namba nyingi sana, binafsi nitafurahi sana kama Sir. Ferg atampanga namba 6 kwenye game za Chelsea na Liverpuli especially kipindi ambacho Tom ameumia
<br />Pointi nzur mkuu...Evans apige mbavu za kulia kwa Evra,Rio na Smalling kati, na wale mapacha sijui wamepona au lah, unles azawiz Ggs mze mzima apewe dimba dogo chini pale...<br />
I hate Carrick aisee.
Phew! Timu ya mashoga hii
chijui wameshapata mrithi?
khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
Tangu kichapo cha 8 washabiki wengi wa Arsenal wamekuwa watafutaji wakubwa wa sababu zisizo za msingi ili mradi wawe juu ya man utd.Mashoga wakati juzi wamekubaka mara nane
Tangu kichapo cha 8 washabiki wengi wa Arsenal wamekuwa watafutaji wakubwa wa sababu zisizo za msingi ili mradi wawe juu ya man utd.