Manchester United wamejiandaa kusikiza maombi ya zaidi ya £20m kumuuza beki Luke Shaw ,22, mnamo mwezi January. Klabu hiyo ya Jose Mourinho itajaribu kumuuza mwaka mmoja mapema ili kumzuia kuondoka kwa kitita cha chini. (Daily Mail)
Real Madrid wanajipanga kumsajili kiungo wa Manchester United Juan Mata uhamisho wa Januari, kwa mujibu wa Express .
Mata alikulia kwenye timu ya vijana ya Madrid na anaweza kushawishika ku
JKocha wa Manchester United Jose Mourinho amepania kumsajili Samuel Umtiti dirisha la uhamisho wa Januari, kwa mujibu wa Mirror .
Imeripotiwa kuwa Mreno huyo anataka kuongeza uimara kwenye safu yake ya ulinzi, Victor Lindelof akiwa anahaha kutafuta makali United tangu atue kutoka Benfica kwa euro milioni 30.
Manchester United wamejiandaa kusikiza maombi ya zaidi ya £20m kumuuza beki Luke Shaw ,22, mnamo mwezi January. Klabu hiyo ya Jose Mourinho itajaribu kumuuza mwaka mmoja mapema ili kumzuia kuondoka kwa kitita cha chini. (Daily Mail)
Real wamehusunishwa na matatizo ya jeraha la Gareth Bale na wanaweza kufikiria kumuuza mchezaji huyo wa miaka 28 huku Manchester United, Chelsea na Tottenham wakionyesha ni ya kumnunua. (Mirror)