Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Man city wapo on form Ila bado siwapi nafasi uefa labda wakutane na timu za England.Mi naomba sana Man city akutane na Psg ili nione huo mtanange utakavyokuwa hata kama ni saa nane za usiku ntaenda kibanda umiza kuiangalia hiyo mechi![]()
Sturridge mbona ni mboga toka kitambo mzee, ulikua hujui?
The legend himselfRoy Keane: "If Liverpool were playing in my back garden I wouldn't watch them."
“Come the end of the season when the prizes are given out, Liverpool will be nowhere near them. They’re drifting nowhere.”
Hii ni hatar
psg wepesi sana mdau usitishike nao ningewachambua hapa ila mie mvivu sana kuandika......hao bayern ndio kabisaaaaaaaabayern/psg shuguli ipo. au wa u.k watupu ili waparuane mancty, man-u
Pogba naskia atakuwepo ila fellain bado sina update yake.Kuelekea game na chelsea nataman sana hawa wadau wawil pogba na mkubwa fella mmojawapo arud hewan ingawa sina shaka na uwezo wa herrera naiman atafanya vizur hata kama hawatakwepo.
Wadau wa man u mwenye updates za kurud hao wa2 wawil tujuzane.
Manchester United on Twitter
Anthony Martial is United's October Player of the Month - Official Manchester United Website Manchester United on Twitterthanks 4 updatePogba naskia atakuwepo ila fellain bado sina update yake.
Itakuwa maajabu atoke kwenye long term injury straight in big game! Labda few minutes from the bench!thanks 4 update
nahis itakuwa njema sana kama atakwepo naiman pale kat patakuwa vzr akishirikiana na matic
mara paaap mnara tunaweza kuuwasha upya.
Pogba hawezi kuwemo starting XI bado hajawa fiti kwa mechi kama hiyo labda Carabao Cup !!!thanks 4 update
nahis itakuwa njema sana kama atakwepo naiman pale kat patakuwa vzr akishirikiana na matic
mara paaap mnara tunaweza kuuwasha upya.