Mie naona Mikh anajitahidi kwa nafasi yake ila anashuka sana na anashidwa kupanda kwa haraka,ila naamini viungo wetu wakirudi tutamuona Mikh akirudi kwenye ubora.Mie nafikiri lukaku yuko poa na ile ndio style yake sema unamuona kapwaya kidogo ni kwasababu feeders hazikuwepo nyuma yake.
Kwa tathmini yangu mikh ndio katokota sana leo na ndio alikua kete ya ushindi toka first half.
Sasa elimu gani hapo umeitoa..?Lazima nikuelimishe. Mechi kubwa sina mbinu zake.Tatizo tangu mjue neno kupaki basi mnafikiri kila mahali mnaweza kulitumia.
Post yangu ya mwisho hii ombi lako nimelipokea,sitapoteza muda tena kuku-quote.
Ifike kipind uelewe falsafa ya kocha anayefundisha timu yako... Kupaki basi ni mbinu take ambayo ameitumia kwa mda mrefu na imempa mafanikio na bodi ilivompa kazi ilijua hayo...Huyu bwana ndo zake kwenye big game 2meona game ya liver na hii ! Ngoja mechi za city na chelsea yatakuwa haya2 labd atashambulia game ya mpumbavu mwenzake wenger....na hiyo pia itakuwa ya away home atapakiii semi....