Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249



Mpya ni Pogba na Jones wako fitNikajua labda kuna kipya kumbe mapichapicha tu ya jana![]()
Hayo ndo mambo yakuleta sio mapichapicha tu muda wote huyu jamaa anaboa sana na picha zake.Mpya ni Pogba na Jones wako fit
Hehehee.. Haya mura. OraareiHayo ndo mambo yakuleta sio mapichapicha tu muda wote huyu jamaa anaboa sana na picha zake.
Dogo anatakiwa apewe muda tu na apate confidence ila ni bonge la jembe time will tell
KweliDogo anatakiwa apewe muda tu na apate confidence ila ni bonge la jembe time will tell