Manchester United (Red Devils) | Special Thread

wadau wanasema, hata kama mtu umefungwa jela miaka 10 halafu ukaachiwa baada ya hiyo miaka kumi....ukifika nyumbani na bonge la ukakasi hauwezi kumpiga mama watoto bao 8...! sanasana tatu tu...! arsenal aibu...najua bado hakijakauka...tehetehe!
 
soni! soni. NIliposikia 8 nilidhani Arsenal ya embe kiburugwa imefungwa katika kombe la mbuzi. Kumbe ni real Arsenal.
Hili ni funzo tosha kwa Arsene wenger na bodi mzima ya club.....waondoke au wanunue wachezaji wanaoujua football
 
Wakuu wangu Nav, mfarisayo, eqlpz, belo, BJ et al...ongeren sana...m bana during the game ad mda mchache uliopita sikuwa naweza post kitu apa (nadhan n hujuma za Mod Wacha Boy, Mbu na AW)...ile wamefungulia tu, niko kule kwao nwaliwaza....

Apa tukutane kesho kufanya mahesabu ya biashara ya leo...
kudadeki..naneee?! moja, mbili, tatu........naneeeeee! khkeeeeeeeee!
 
M nilikula BAN ya ku post umu wajameni..kwel nimeamin uchakuchuaj haukuanzia Tume..ad uku...

Na mm naomba u mod sasa, walau masaa 48 tuuuuu!
 
Hongereni kwa kurudisha magoli mliyofungwa na Marseille tutawafundisha adabu msiwe na wasi wasi khe khe khe khekhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Lakini League bado mechi 35 tunawatakia mafanikio mabovu khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 
Last edited by a moderator:
Wewe mshikachuma ulianza kwa kubeza Man U kuwa tuna mpira wa kawaida sana....usitukane wakunga na uzazi ungalipo!

Na mwenzio akaongeza hatuna kipa...naamini penalty iliyopanguliwa mliiona...kimsingi Man U leo ingewapa zawadi ya goli kwa kila mchezaji
 
Kuna watu wanamiss hii party, Mfarisayo, Manda, Belo, Nayvone, BelindaJacoob na wengine ambao sijawataja.
Kusema ukweli baada ya goli la sita nilianza kuwaonea huruma Arsenal.

Aisee Eqlypz nimekusoma japo veri late!! party bado lipo yaani Arsenal leo full hasira..hili party liendelee mpaka mwisho wa wiki ianzayo si tunawajua wao wakibatishaga ni fujo kwenda mbele..
Yani wanasikitisha sana, sijui watalalaje leo!!..PamojA Mkuu
 
Hii party itaanza rasmi kesho, ila kwa sasa tukawafariji wapinzani wetu kama alivyofanya Fergie.
 
 
Last edited by a moderator:
Glory Glory Man Utd.Wakuu hongereni sana kwa ushindi. Yaani leo sijui ilikuwaje Net iligoma kabisa na hata ilipokubali sikuweza kupost chochote sijui ilikuwa ni hujuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…