Man city amefungwa goals 4 kwenye ligi na sisi tumefungwa goals 4...sasa hapo kaka utaniambia kuwa sisi tuna back line nzuri kushinda city?Kaka punguza hisia kwenye ushabiki...... unajua kwanini Lukaku amenunuliwa na kwa bei hiyo?, unajua kwanini strikers wanakuja EPL huwa wanapata shida msimu wa kwanza?
City anazidiwa uwezo kwenye ulinzi na Utd, ila uwezo mkubwa wa city upo kwenye middle ambao wengi ni creative kwahiyo wana attack sana na wapo clinical.
Utd haina viungo creative timu yetu ilikua imemzunguka Pogba na pia Matic aliletwa kumsaidia Pogba ili tuwe tuna attack...... ndio maana 4g ilitawala.
Fanya utafiti kidogo nikitulia ntakuja kukupa darasa kwa sasa nipo kwenye simu.
man utd ana clean sheet nyingi, kati ya hizo goli 4 amefungwa mechi mbili tu, hivyo clean sheet 7, wakati city wana clean sheet 6 kama sijakosea. hio ni advantage.Man city amefungwa goals 4 kwenye ligi na sisi tumefungwa goals 4...sasa hapo kaka utaniambia kuwa sisi tuna back line nzuri kushinda city?
Pamoja na mkubwa felaLindelöf has had a poor start at MU. No different to De Gea, Vidic, Evra or Pallister then. Support the lad. He's highly rated for a reason.
Victor anamsindikiza mtu mpaka anatupia badala amchape kiatu hata akipewa kadi watu watajipanga..
Magoli yote ya jana ni uzembe wa Victor,angekuwa Bailly au Rojo wasingeweza kuvumilia ule ujinga..
Goli la kwanza atalaumiwa Mata lakini bado Victor alikuwa na uwezo wa kuzuia!
Kwaio man u haitashinda mpaqa hao majeruhi waponee mquu..Jamaa kasahau key player wote majeruh sijui wakirud wakina pogba,bailly,rojo na fellain atasimamia wap kwa mjuz wa mambo bailly,pogba na fellain pamoja na rojo wakirud tayar timu itakuwa kwenye ubora hauna kiungo wa kukaa na mipira unategemea nn
Kwaio man u haitashinda mpaqa hao majeruhi waponee mquu..
fasihi nadhani inakusumbua ungenielewakiswahili kinakupa chenga mkuu rudia kusoma upya ambazo sijaziandika hapo zipo sawa na wakina huda.
fasihi nadhani inakusumbua ungenielewa
nilimaanisha huiofiii hudakiswahili kinakupa chenga mkuu rudia kusoma upya ambazo sijaziandika hapo zipo sawa na wakina huda.
nilimaanisha huiofiii huda
Mkuu timu yetu ina defenders wengi kuzidi City, United (10) vs (08) City ingawa City ana kikosi cha defenders ghali zaidi ya united wakiongoza na Mendy.United inamzidi City uwezo kwenye ulinzi?Mkuu naomba ufafanuzi kidogo hapo
Mkuu, angalia stat utaona sie tuna cleansheet nyingi kuzidi city pia stats ya back line yetu ipo poa,team strategy yetu ipo defensive zaidi kuliko attacking. Ukingalia kuna kipindi team inakuwa na ball possesion kubwa lakini shot on target ni chache, ila team kama City, Chelsea na Spurs wapo vizuri attacking.Man city amefungwa goals 4 kwenye ligi na sisi tumefungwa goals 4...sasa hapo kaka utaniambia kuwa sisi tuna back line nzuri kushinda city?