Kuanzi gemu na liva manchester wameanza kuzingua, hua najiskia kichefchefu ata kuwaangalia, hata hiyo gemu ya uefa tulishinda kibahati tu, morinho si kocha ni mbabaishaji tu
As much as I hate to admit it tuna mmiss Pogba pale kati....timu imekosa creativity kabisa
Hela tulizotumia kumnunua liendof tungetumia kumpeleka Rojo India akapone mapema kama England wameshindwa mtibu...this guy is awful since day one anafanya school boy error