Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Supercomputer imetabiri tutashinda 2-0..cant wait to prove it wrong cuz 4G ndo mpango mzima
 
Tena ingekuwa mie ndo mpanga kikosi...martial angecheza nyuma ya Lukaku. Endapo akiamua Mikh apumzike. Alafu juan mata namuweka atoke wing ya kushoto.
 
Tena ingekuwa mie ndo mpanga kikosi...martial angecheza nyuma ya Lukaku. Endapo akiamua Mikh apumzike. Alafu juan mata namuweka atoke wing ya kushoto.

Mkuu mata acheze nyuma ya hao mkhitaryan sijui kawaje daaa
 
Huwaga martial akiharibu mou anaponda sana lakini micki kama gemu tatu anakimbia kimbia tu.
Ndugu yangu wa kilimanjaro Martial mou anamuonea sana.
 
Naona rumours za Ozil kuja United zimeshika kasi....jamaa ana jicho la pasi ya mwisho sana ila analaumiwa kwa kutojituma.
Suala la kutojituma linategemea na kocha anayemfundisha Wenger tunamjua hana habari na mtu.Kipindi Ozil anafundishwa na Mourinho ndio amepata mafanikio binafsi sana makubwa sana misimu 3 akiwa chini ya Mourinho Ozil alitoa assist 28,29,24 tangia hapo hajawahi kufika hizo rekodi tena
 
Nimeangali Real Madrid wakati Ozil yuko huko, sijaona akijituma. Style yake ya mpira ni hio hio. Sometimes ndio style ya mtu wala sio kocha, ndio maana Mata yuko vile vile leo na Mourinho hakumpenda alivyokuwa Chelsea. Ila Mou sasa ndio kabadilika akijua ni mechi inahitaji kujituma sana hampangi anaweka watu wa kazi badala ya kumlazimisha acheze style isio yake.
 
Hakuna mashabiki wabovu wa mpira kama wa Liverpool ...wao wanachojua ni historia tu hakuna kingine.. na kukariri majina ya wachezaji. Muchknow sana halafu wengi wenu mnaonekana pale timu inapofanya vizuri tu ...

Hivyo mim siwezi kubishana na wewe maana ni wale wale tu. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…