15:08KEY EVENT
Mourinho on his future
I think you English media have the answer. In one day it says I am going to sign a 5 year contract, £1billion per season. The next day you say I am leaving to go to PSG. That is the answer.
Nothing is happening, I am not signing a new 5 year contract ad I am not leaving for PSG. I am not leaving United. I have a contract and that is it.
man u hawana uwezo wa kupambana na timu kubwa kama man city, chelsea, spurs,arsenal huo ndio ukweli mkuu level zenu ni crystal palace, burnley , southamptonAchana na uchambuz wa kina jimie hizo takwimu zao zilichukuliwa mech za ugenini je nyumban kawafanya nn hao wakubwa?
Tumemfunga spurs na chelsea tumepoteza mech moja ya city suluhu ya liver na arsenal bado hiyo kauli ipo hai? City msimu ulioisha kapigwa na chelsea away,kapigwa na spurs away kapigwa na liver away arsenal suluhu kashinda mechi moja tu ya away tena kwetu
Tumecheza mechi moja tu msimu huu watu washatoa hitimisho vyombo vya uingereza vinaharibu soka lao.
Hao ni maadui wa mourinho pia hata ukiangalia kwa jicho la mbali tuna mechi ya uefa ambayo ni muhimu mno ukiongoza kundi lako unanafasi ya kumkwepa mkubwa mmoja ligi ni mbio ndefu uefa ni mtaono ukizubaa tu imekula kwako
Najua wengi mtanibishia city ni moto wa mabua utazimwa muda si mrefu manchester united ni bingwa wa epl tunzeni hii nina uhakika 100%√
mkuu mchezaji akicheza pembeni automatic haimaanishi ni natural wingers, mfano kulia kuna
-RWF -winga mshambuliaji wa kulia
-RW- winga wa kulia
-RM- kiungo wa kulia
-AMC- kiungo mshambuliaji wa kulia
wote rashford na Martial ni washambuliaji, wakicheza pembeni wataendelea kuwa washambuliaji au winga mshambuliaji, angalia wakipata mpira wanataka kuingia ndani.
mfano mzuri ni huyo martial mechi na liverpool mara ngapi amepata mpira na kuingia ndani? karibia mara zote, mentality yake tayari ipo hivyo na hiyo ndio natural position yake.
ukiambiwa winger au natural winger ni yule ambae akipata mpira anachofikiria ni kukimbia pembeni karibu na kibendera na kutia cross, si rashford si martial wanaoweza cheza hivi,
Hapo ndio perisic, forsberg, bernardeschi wanapoingia, kati ya hao tulitaka mmoja ila matokeo yake hajakuja haja mmoja, hao ni natural wingers, wanakupa width na kuwafungua mabeki waje pembeni, unapokuwa na wingers wazuri lazima watu wawili wamkabe hivyo tegemea beki wa pembeni na angalau namba 6 wachomoke kati waende pembeni, hapa unatengeneza mambo mawili
1. apige cross watu wagombanie vichwa
2. wachezaji wa kati wapate nafasi zaidi ya kushambulia.
na hapo ndio mtu kama mkhitariyan anapoona nafasi na kuuwa watu.
man u hawana uwezo wa kupambana na timu kubwa kama man city, chelsea, spurs,arsenal huo ndio ukweli mkuu level zenu ni crystal palace, burnley , southampton
man u hawana uwezo wa kupambana na timu kubwa kama man city, chelsea, spurs,arsenal huo ndio ukweli mkuu level zenu ni crystal palace, burnley , southampton
Achana na uchambuz wa kina jimie hizo takwimu zao zilichukuliwa mech za ugenini je nyumban kawafanya nn hao wakubwa?
Tumemfunga spurs na chelsea tumepoteza mech moja ya city suluhu ya liver na arsenal bado hiyo kauli ipo hai? City msimu ulioisha kapigwa na chelsea away,kapigwa na spurs away kapigwa na liver away arsenal suluhu kashinda mechi moja tu ya away tena kwetu
Tumecheza mechi moja tu msimu huu watu washatoa hitimisho vyombo vya uingereza vinaharibu soka lao.
Hao ni maadui wa mourinho pia hata ukiangalia kwa jicho la mbali tuna mechi ya uefa ambayo ni muhimu mno ukiongoza kundi lako unanafasi ya kumkwepa mkubwa mmoja ligi ni mbio ndefu uefa ni mtaono ukizubaa tu imekula kwako
Najua wengi mtanibishia city ni moto wa mabua utazimwa muda si mrefu manchester united ni bingwa wa epl tunzeni hii nina uhakika 100%√
Ngoja nikusaidie record za Mourinho, ana rekodi kote kote uingereza na spain za kutwaa ubingwa kwa point nyingi zaidi. 95 akiwa chelsea uingereza na 100 akiwa spain na madrid.Nashangaa watu mnasema timu inahitaji winga baada ya kutoka droo na Liverpool
LIVERPOOL VS MANCHESTER UNITED
Approach ambayo Mourinho aliyotumia against Liverpool ndio hiyo anayoitumia siku zote akicheza big match ndio maana mara nyingi hata akishinda atashinda 1-0,2-1,2+ inategemea weakness ya opponent wake.Huwa anacheza defensive muda mwingi anavizia counter attack/makosa ya mpinzani wake na siku zote huwa anatengeneza nafasi chache ile chance aliyopata Lukaku kwa mfumo wa Mourinho lilipaswa liwe goli,weakness kubwa ya Liverpool ni kushindwa kucheza mipira ya juu/kudefend set piece (Fellaini na Pogba wangefaa) na mabeki kufanya makosa wakipewa pressure(Lukaku alikuwa isolated peke yake) Matip alikuwa free na muda mwingi alikuwa anakuja kushambulia .Liverpool wanacheza 4-3-3 United wanacheza 4-2-3-1 so ilikuwa ngumu kupambana nao ukizingatia viungo waliokuwa available ni Matic(ameanza kuchoka) na Herrera(hayuko kwenye fomu sababu ya benchi) kama angekuwepo Fellaini Liverpool wasingetawala kiungo kiasi kile na uwepo wake angewapa space Martial/Young kwenda mbele kushambulia.Herrera na Matic walikuwa wanacheza sana nyuma so defender wa Liverpool muda mwingi walikuwa free so hata Martial/Lukaku wakipata mpira ilikuwa rahisi kuwakaba
Kingine Mikhitaryan big match zinamshinda last season game against City alichemsha sana juzi pia amechemsha.Then winger ambao Mourinho alitaka kuwasajili ni Griezmann,Perisic na Bale na sio hao kina Forsberg au Bernadeshi.Kwa mpira wa sasa United wanahitaji new attacking fullback(left & right) Valencia na Young wanafaa kuwa backup player,Shaw sidhani kama atafanikiwa kumshawishi Mourinho
Ngoja nikusaidie record za Mourinho, ana rekodi kote kote uingereza na spain za kutwaa ubingwa kwa point nyingi zaidi. 95 akiwa chelsea uingereza na 100 akiwa spain na madrid.
mwaka huo 2011 ambao aliipa madrid ubingwa alieka record za mabao ya kufunga yaani 121,
so nitajie kocha yoyote unaemjua wewe wa ligi kubwa alofikisha hayo magoli 121, ukimpata tutaendelea na mjadala, ukimkosa then umemkosea heshima kwa kusema ushindi wake ni goli chache.
kuhusu griez na Bale hao sio mawinga mkuu, ni watu ambao wangekuja msaidia striker, kama angekuja mmoja wao na winger angekuja vile vile.
hizi mechi ambazo mou analazimisha point na liver ni mechi ambazo arsenal anapigwa, hizi point moja moja ndio ambazo zinakuja kumpa ubingwa baadae.
ukitoa man city msimu huu hakuna timu yenye magoli mengi kushinda man u Epl pale, hivyo hizo goli sijui umezitolea wapi.
na kuhusu mfumo sio namba tu za kukariri mkuu, mifumo inaweza kuwa ina namba moja ikatofautiana, mfano LVG msimu wa mwisho amecheza 4-2-3-1 sawa na mou je mifumo yao inafanana?.
mkuu nimeshakujibu huko juu Rashford na martial sio mawinga, zunguka unavyozunguka ukweli utabaki huo, na haya sio maneno yangu mkuu vyote ninavyoandika huko juu ni maneno yake mwenyewe mou,Naona unazungumza mambo ambayo sijayasema,baada ya game na Liverpool watu wanalalamika why Woodward hakumsajili Perisic nikakwambia financial kumnunua Perisic kwa 48m +5m add ons while unao Martial/Rashford sio deal zuri
Nimekupa analyis ya approach ya Mourinho kwenye big match (Akicheza na timu kama Barca,United,Chelsea,Liverpool,PSG).Angalia rekodi yake against hizo nyingi ni 0-0,1-0,2-1, binafsi nakubaliana na approach aliyoitumia kwenye game against Liverpool
Approach ya Mourinho na wachezaji anaowataka wanajulikana siku zote anakuwa na striker mmoja(target man) (Mcathy,Drogba,Benzema,Milito,Costa,Ibrahimovic,Lukaku) then anakuwa anasaidiwa na mawinga 2.Griezmann au Bale kwenye mfumo wa Mourinho ni mawinga(right foward/left foward)Bale anacheza winga wa kushoto Real Madrid while Griezmann anaweza kucheza left foward,right foward,centre foward au second striker.Uwepo wa Lukaku automatically yeye ndio target man wake na amefit kwenye mfumo wake tofauti na watu walivyotegemea