Leo ni game plan tu. Mechi za upinzani wa jadi huwa ngumu sana mf hapa kwetu hata mwaka ambao Simba wabaya wanapoteza kila game lkn wakikutana na Yanga wanashinda. Naamini katika tactics za Mou.Sijui kama man city ana mshindani mwaka huu, hasa kwa kiwango tulichoonesha leo
Acha maneno mengi. Njoo ushangilie Chelsea. Inaua MTU.
Acha maneno mengi. Njoo ushangilie Chelsea. Inaua MTU.
Hapa ubingwa tusahau mkuu,sio kwa approach hizi za ajabu ajabu kabisa. Kisingizio utasikia fella na pogba.Mourinho anazingua xna yan tutammis sana Fergie hakuna timu hapa ubingwa unanoga tulizifunga timu kubwa city watafuua in short hata chelsea atatufunga..mtu unajipiga kutoa kiingilio kwenda kuangalia game kocha analeta umbwa
Nakukumbusha tu mkuu kipigo cha tatu hiki mnapokea msimu huu... Tufanye Crystal Palace ni team kubwa nayo....Sawa tunaotea. Nyinyi mbona hata kumuotea Liver imewashinda!? Yani Hazard, Morata na Pedro useme wanaotea? Morata akifunga magoli 6 ameotea ila Lukaku akifunga hayo hayo hajaotea
Sawa tunaotea. Nyinyi mbona hata kumuotea Liver imewashinda!? Yani Hazard, Morata na Pedro useme wanaotea? Morata akifunga magoli 6 ameotea ila Lukaku akifunga hayo hayo hajaotea
Naona umebadili maelezo sasa. Nakukumbusha game ya tatu hii unapigwa...Msimu huu MAN CITY kombe lakee. .bisheni.
Jones dah acha tu na mimi nimeyawaza hayo je katika big 6 zote tutacheza hivi kisa tunatafuta point moja?
- Belo maneno yako yapo sahihi ya kwamba game plan ya mourinho imefanya kazi lakini suali la kujiuliza inamaana mechi zote za liverpool kwenye uwanja wa Anfield tutaendelea kucheza kwa kiwango kama hichi utafikiri timu ya Shaba ya pemba?
- nawakumbusha tu wapenzi wenzangu wa manchester united tutakapotembelea viwanja vya emirates na etihad tutacheza tena mpira kama huu na eti sababu kubwa ni wapinzani wetu wanamiliki sana mpira kuliko sisi na ushahidi wa hili jaribunui kurejea mechi za msimu uliopita.
- inamaana mechi zote tutakazocheza ugenini dhidi ya timu yenye winga wazuri mlinzi wa kushoto atakuwa matteo darmian,mwanadamu ambaye ndani ya dakika 90 anavuka mara 5 tu kwenye mstari wa kati.Kwa mchezaji aina ya darmian hata kama winga wako ni neymar basi ataonekana kilaza, nashindwa kuelewa kwa nini mourinho alishindwa kumruhusu aende juventus.
- jamani hawa wachezaji wetu huwa hawafanyi mazoezi ya kumiliki mpira, kwa sababu tukikutana na timu inayomiliki mpira kidogo wanapoteana uwanjani utafikiri kama wamefungwa mawe miguuni.
- lukaku anapaswa kuangalia video za messi apate kujifunza utulivu anapokuwa kwenye eneo la hatari, haiwezekani kila mechi awe ni yeye tu anayekosa magoli ya wazi. akiendelea na tabia hii ipo siku atamtapisha mtu.
- kwa mpira tuliocheza leo phil jones hapaswi kuendelea kukaa manchester united kwa sababu anacheza na vilaza, namuonea huruma sana kwa jinsi anavyojituma
- mwisho niwambie washabiki wa liverpool wanaopita kwenye thread hii ya kwamba kama munataka ubingwa basi munapaswa kwanza mutafute mshambuliaji, haiwezekani munaingia kwenye boksi la adui mara 20 lakini kipa wa timu pinzani anaokoa shambulizi moja tu la hatari
Msimu huu MAN CITY kombe lakee. .bisheni.
Huyo shabiki huwa anahaha hadi anachekesha!Naona umebadili maelezo sasa. Nakukumbusha game ya tatu hii unapigwa...
Hongereni kwa De Gea...!
The best in EPL so far...nadhani hata ulaya yupi top kabisa...sawa na yule mjerumani anayecheza nafasi zote, Manuel Neuer