Sawa tunaotea. Nyinyi mbona hata kumuotea Liver imewashinda!? Yani Hazard, Morata na Pedro useme wanaotea? Morata akifunga magoli 6 ameotea ila Lukaku akifunga hayo hayo hajaotea
Mkuu city watatubamiza game ya leo imenipa hasira had nimeombea tupigwe mou akili imkae sawa game hizi inahitaji timu icheze mpira sasa analeta uchelsea