Martial swafi kwa counter ndiyo maana ninamchagua ili kuongeza mibadala ya kugawa mipira ya long balls na kuwafanya mabeki Wa Liverpool wasiwamaki sana Lukaku na Rashford.
Sijui niisujudu historia au ndo historia wanasema ipo ili ivunjwe ?...anyway ngoja nimepita mara moja kuwasalimia kidogo nimalizane na mhindi kwanza kivyangu ndo ntajua kipi ni kipi
Ila chapchap wazee wa dozi kumbuka mechi inachezwa mapema unaweza kumaliza mpira na wkend ikawa imeisha ukatamani j3 kesho
Ila aisee mambo yanabadilika,leo mashabiki wote wa united duniani wanalia na kukosekana kwa fellaini kwenye kikosi,wakati kijana aliyekuwa player of the season(Ander Herrera) yupo fit..