Ahaa hivi wee bado haujapigwa eeeh..Kwanza kajifunze kuandika. Afu usipende kushoboka kwenye majukwaa ya wanaume. Ushapigwa game 2 sasa, pambana...
Mkuu kma south Anton ulishinda moja na stocke ukalazimishwa draw ..jiandae kisaikolojia kukutana man city.Nawatamani sana hawa man city nikutane nao...niwape ladha ingine yenye uchungu.
we kinabo south Anton ndio nn?Mkuu kma south Anton ulishinda moja na stocke ukalazimishwa draw ..jiandae kisaikolojia kukutana man city.
where were you right nowLeo kwa C palace mnakalishwa ..aezwi fungwa mfululizo.
SouthamptonMkuu kma south Anton ulishinda moja na stocke ukalazimishwa draw ..jiandae kisaikolojia kukutana man city.
7 gamesAhaa hivi wee bado haujapigwa eeeh..
Hadi keroooooo.ila magoli yake yananipaga furaha sanaLukamagoli anapenda misifa![]()
![]()
Sipigwi msimu huuAhaa hivi wee bado haujapigwa eeeh..

Liverpool pale ni kuchukua points tatu,beki zao mbovu haijapata wahi kutokea..