RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,774
- 129,533
City kampiga Palace 5-0Ndio hivyo tuendelee kuwakumbusha taratibu wataelewa tu kuwa tumerudi.
City kampiga Palace 5-0Ndio hivyo tuendelee kuwakumbusha taratibu wataelewa tu kuwa tumerudi.
Ndugu nimesoma ubishani wenu ulipoanzia, ukirudi kwenye ile post utaona imeandikwa '...burnley na stoke wamewafunga chelsea na arsenal...' kwa kiingereza angemalizia respectively yaani burnley kamfunga Chelsea na Stoke kamfunga Arsenal.Niambie stoke city amemfunga lini Chelsea?? Au unazungumzia msimu wa mwaka juzi. ..
Narudia tena mwehu baba ako...![]()
Una uhakika man city alishinda moja...???Huyo Crystal plc sisi mu tumempiga nne wakati mc alimfunga kamoja tu tena kwa mbinde
Uyo alishindwa kujieleza mkuu. Hope nimekupataNdugu nimesoma ubishani wenu ulipoanzia, ukirudi kwenye ile post utaona imeandikwa '...burnley na stoke wamewafunga chelsea na arsenal...' kwa kiingereza angemalizia respectively yaani burnley kamfunga Chelsea na Stoke kamfunga Arsenal.
Hope umeelewa endelea na mijadala ingine.
Shukran kwa kumaliza utata jambo lilikuwa wazi kabisa.Ndugu nimesoma ubishani wenu ulipoanzia, ukirudi kwenye ile post utaona imeandikwa '...burnley na stoke wamewafunga chelsea na arsenal...' kwa kiingereza angemalizia respectively yaani burnley kamfunga Chelsea na Stoke kamfunga Arsenal.
Hope umeelewa endelea na mijadala ingine.
yap mana ubingwa ndiyo unapatikna kirahisi.Unapenda kuwa kileleni sana wewe eeh?
sorry nimechanganya madesaUna uhakika man city alishinda moja...???
Soma tena uelewe kabla ya kujibu. Burnley vs Chelsea mechi iliishaje?Mkuu wewe unaangaliaga mpira kinyume nin ..Stoke city alimfunga Chelsea ngap..???
Mkuu mbona kama uko bize na thread ya Utd wakati threads zenu haziendi? Au huku ni bora zaidi?Uyo alishindwa kujieleza mkuu. Hope nimekupata
Man united ni timu kubwa ndio maana, anashinda huku sanaMkuu mbona kama uko bize na thread ya Utd wakati threads zenu haziendi? Au huku ni bora zaidi?
aliemtia mama ako ukatoka wew mwehu mwenzie
Mkuu hapo namuogopa liver gem kubwa anakamia chelsea kaanza kusepa msimu huu takwimu hazidanganyi gemu ya spurs mlitokea tundu la sindano sema na wembley mlistrugle sana kwa arsenal gemu ya pili mbele alicheza iwob arsenal walifika kwenye 18 mara nyingi sana tofaut na nyie ukija gem ya jana loomkichomoka hapo nawapa credit ya ubingwa....![]()
Nadhani hawa wanaovamia uzi ndio wanaleta matusi.Mkuu sio vizur matus jikiteni ktk mpira
Kweli mkuuNadhani hawa wanaovamia uzi ndio wanaleta matusi.
Jamani tujadilini soka
Kumbe bado haujakubali tuu sisi ni mabingwa?mkichomoka hapo nawapa credit ya ubingwa....![]()