Hahahahaha wanasema bado ligi haijaanza teh tehHaters wanatafuta maneno, soon watakuja na ngonjera zao
Hahahahaha wanasema bado ligi haijaanza teh tehHaters wanatafuta maneno, soon watakuja na ngonjera zao
hahahaa nawe ushajifikilia raha utakayopata .?Acha roho mbaya, wafikirie washabiki wao...
Asante mkuu.
chezea Mwalukaku.Hahahahaha
Wamekoma kumsema Lukaku
wanaona haya ni mazoezi, ila wana namna nzuri ya kujipa moyo.Hahahahaha wanasema bado ligi haijaanza teh teh
KaribuAsante mkuu.
nipo mkuu, tunachungulia kidogo ili jikoni pasiungue.Nimewamiss dada zangu cute, everlin na sister...i hope mu wazima nyie....piteni mtoe hata kasalamu kwa mbali
Mimi nawajalo sana wengine.hahahaa nawe ushajifikilia raha utakayopata .?
hiyo furaha ishushie na JD black lebel nakuja kulipa.Mkuu Bailly 5 leta mapicha yale nigonge like nnafuraha ajabu
hahahaha mie nimeacha siku hizi najijali mwenyewe.Mimi nawajalo sana wengine.
Hao jamaa nawaogopa sio mchezoGuys..Man City wako vizuri.
Chelsea katulizwa kwao kama utani...ingawa mechi inaendelea so far City wako njemaHao jamaa nawaogopa sio mchezo
Afu kwa nini unachelewa kuja huku???Fitina fitinani

Chelsea labda atafute sare tuChelsea katulizwa kwao kama utani...ingawa mechi inaendelea so far City wako njema