hakuna kama jones! 20m was so cheap 4him !
Money talk - kwa wachezaji walionao Citeh na bado wanamtaka Nasri na Sneijder hauhitaji hata ustadi wa kufundisha - hata mzee wa Brolly MacLaren anaweza kunyakua ubingwa na timu hii.Waungwana tuache utani ile humdinger ya Sergio Aguero ilikuwa si mchezo, kusema kweli Citeh sasa wamekamilika wakipata world class manager EPL tutakuwa tunatafutana. More reasons SAF inabidi anunue CM wa uhakika aache story za kusema anawapa nafasi watoto.
Wesley Sneijder tells Man Utd: Ill take pay cut
WESLEY SNEIJDER has slashed his pay demand to make sure the Manchester United deal goes through.
The worried Dutch star, 27, looked to have blown his chance of leaving Inter Milan by asking for £200,000 a week.
Sneijder is now prepared to slash that demand by £60,000 a week.
It would still making him the second highest paid star at United - behind Wayne Rooney on £250,000 a week.
United offered Sneijder a contract last month and Inter were happy to sell at £35million.
But the Premier League champs could not agree on Sneijder's pay.
The attacking midfielder was sure they would come back with a new offer but that has not happened.
Source The Sun
katika game ya juzi jumapili, were just lacking the sneider impact
Wakiondoa bad influence ya Tevez na Balotelli they could walk themselves to any title bila kocha....Money talk - kwa wachezaji walionao Citeh na bado wanamtaka Nasri na Sneijder hauhitaji hata ustadi wa kufundisha - hata mzee wa Brolly MacLaren anaweza kunyakua ubingwa na timu hii.
Manchester United mchezaji ambaye pengo lake hadi leo halijazibika ni Roy Keane,alikuwa defensive midfielder ambaye pia ana uwezo mkubwa wa kukaba na kufunga,Fletcher alitegemewa labda angefuata nyayo lakini ameshindwa.Kwa muda mrefu Paul Scholea alikuwa attaking midfielder pia alikuwa na uwezo mkubwa wa kufunga lakini kuondoka kwake sio tatizo sana sababu ManU wanategemea sana viungo wa pembeni kutengeneza magoli Nani/Valencia /Young.SNEIJDER ni mzuri kwa kutengeneza magoli ,kukaba na kufunga lakini kwa umri alionao na mshahara anaotaka ni bora kuachana naeMkuu nAomba kutofautiana na wewe game ya J2 Man ilicheza vizuri sana sijaona pengo la Sneider.
Tatizo la ManCity ni kocha Roberto Manchini anapenda sana kucheza mfumo wa ku-defenceMoney talk - kwa wachezaji walionao Citeh na bado wanamtaka Nasri na Sneijder hauhitaji hata ustadi wa kufundisha - hata mzee wa Brolly MacLaren anaweza kunyakua ubingwa na timu hii.
Manchester United mchezaji ambaye pengo lake hadi leo halijazibika ni Roy Keane,alikuwa defensive midfielder ambaye pia ana uwezo mkubwa wa kukaba na kufunga,Fletcher alitegemewa labda angefuata nyayo lakini ameshindwa.Kwa muda mrefu Paul Scholea alikuwa attaking midfielder pia alikuwa na uwezo mkubwa wa kufunga lakini kuondoka kwake sio tatizo sana sababu ManU wanategemea sana viungo wa pembeni kutengeneza magoli Nani/Valencia /Young.SNEIJDER ni mzuri kwa kutengeneza magoli ,kukaba na kufunga lakini kwa umri alionao na mshahara anaotaka ni bora kuachana nae
Waungwana tuache utani ile humdinger ya Sergio Aguero ilikuwa si mchezo, kusema kweli Citeh sasa wamekamilika wakipata world class manager EPL tutakuwa tunatafutana. More reasons SAF inabidi anunue CM wa uhakika aache story za kusema anawapa nafasi watoto.
Dogo ni mzuri na fighter kama Tevez wangepata kocha mzuri angetengeza combination ya Aguero na Tevez kama kule Atletico ilivyokuwa Forlan na Aguero lakini mfumo wa Mancini ni wa kuchezesha mshambuliaji mmoja ,kabla Mark Hughes hajafukuzwa nakumbuka alikuwa anawachezesha Tevez na Belamy combination yao ilikuwa balaa Chelsea alipgiwa goli 4 kama wamesimama,Manu tuliponea chupuchupu tukashinda 4-3 baada ya Owen kufunga goli dakika ya 97Kusema kweli nampigia saluti huyu dogo ni mtambo wa ukweli, ni mtundu sana uwanjani.
Gary Neville said:.... ...... ..... Well, Manchester United went 26 years without winning the league, Liverpool have now gone 21 years without the title and Manchester City went 35 years without winning a trophy. Tottenham have gone 50 years without winning the league. .... .... ..... ...
True or false
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Consolidating cries....
Bila shala Arsenotrophy mtaenda miaka 50 trophyless