Hakuna kitu hapa Fungie si ndio alipanga ratiba huyu. Chacha mnategemea nini? Phew! Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ngoja wengine tuangalie golf kwanza mtatujuza matokeo.
Ulitaka tupangwe na nyie nn first fixture mchezee koki mapemaaaaa?Et ukaangalie golf!?, acha kuzuga, najua una watch game tu apa..au kina kuuma tunapo wachabanga awa watt?
Kinachonisikitisha Wenger kawakataza wachezaji wangu kupiga mashuti ya mbali lakini yangekuwa mengine kwenye mechi yetu inayokuja na huyu kipa wenu mpya.Kipa ukitungua goli lol.