Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Umepotelea wapi mama?? Unaonekana mechi imeisha[emoji8]Gooooooooooool
Yaaaaan kituuuuuuuuu na box yaaaaani mnara wa 4G
mkuu ww ni mchawi nnMy prediction for tomorrow game
Manutd 4-0 Everton
hahaaaa hata mie nilikuwa nachungulia kwenye livescore nakuta kagoli kamoja duh kuja kutahamaki dakika ya 90 manne.Mambo ya presha mi siyataki kabisa ndo nini dakika 80 zote moyo unadunda kama nasubiri matokea ya mtihani.... Anyway 4G is back
Hapo tulilamba dume mkuuWashalewa sifa. Huyu Matic anatusaidia sana kufuta makosa
Aiseee!!! Niliona hater mmoja alimbeza kumbe watu na mizizi yao... Hureeee[emoji122] [emoji122] [emoji122]Mkuu hongera kwa utabiri wako[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Woyooooo.....[emoji485] [emoji485]tupo mkuu, woyooooooo
Ha hahaha nakusubiri hadi wewe uniozeshe siku ikifikaUnatakiwa ufanye kama leo unajificha mwanzoni halafu akishaanza kupoteza umakini mchezoni , unaibuka ghafla kijana akikuona tuu anafufuka upya
* ila bado no kujiita MrsL.....
Hii mechi ya ngapi 4g inakuwa inapatikana bila shida?