Kuna tetesi kuwa leo Pale OT hakutakuwepo na Heroic welcome kwa mchezaji wa Zamani wa Club hiyo yaani Wayne Rooney.
Rooney bado anabaki mioyoni mwa mashabiki na wadau wote wa MUFC
Rooney anashikilia rekodi ya kuwa all time Goal Scorer kwenye Club ya manchester united baada ya kuichezea kwa miaka 13 kabla ya kurudi kwenye Club yake ya utotoni Everton.
Sasa wanasaikolojia wa soka wanadai kupay tribute yoyote kwa Rooney kuna athari kusituache salama.
Wengi wanahisi yatajirudia yale ya 2013 ya CR7 na Sir Furgie...
Sir Alex alitoa amri ya watangazaji wa uwanja kutambua uwepo wa CR7 na mashabiki wakashangilia kweli..
LENGO la furgie likiwa na kumpumbaza RC7 ajisikie kupendwa na yuko home ili kupunguza madhara yake...lakini baya zaidi CR7 ndiye aliyefunga goli la ushindi na kututoa kwenye mashindano ya EUFA champions..
Ili ndio lililowaumiza mashabiki na wadau wote wa MUFC..
Leo hawataki kurudia kosa...!
Ni tetesi tuu lakini.