Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fellaini hana damu ya kupendwa tu na mashabiki,ni kama sturridge na liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka fletcher na SAF watu walikuwa wanajiuliza vipi? pia vuta picha kidogo ji sung park vile vile mwanzoni watu walikuwa hawamuelewi babu kuhusu huyo three lungs mpaka baadae game zote zenye viungo wengi pinzani ji sung ilikuwa inamuhusu game hiyo.
 
025831ceb729311d1f5488d8638ca2ec.jpg


Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
 
jana ilikuwa ni mechi ya 100 kwa david degea kuichezea Manchester United bila ya kuruhusu goli.
kama wewe ni mpenzi wa real madrid tafadhali hii video haikuhusu endelea kubaki na hali yako na msaada wetu mkubwa ni kukupatia fax machine


huyu jamaa apewe pesa nono tu kwa wiki aiseeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom