Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Rekodi imeendeleaLeo ndani ya uzi mweusi..naona watu wanaongelea sana rekodi zilizopita against stoke but mimi naona kwa kikosi tulichonacho hii gemu tusiposhinda itakuwa uzembe tu hakuna kingine..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaa mou hajawah mfunga yule kocha na united haijapata ushindi pale Britannia kwa Mara ya tanodah hawa stock si watu wazuri, yani wameamua tugawane 4g yetu.
Chelsea alivofungwa na barnley dunia nzima ilirindimaa ...maana sio kwa zile kelele zenu, kila baya lilisemwa ..wachambuzi uchwara kama akina Shaffih na wengine waliongea kadri ya uwezo wao. Hata asiye shabiki wa mpira alijua Chelsea imefungwa ..mbaya zaid ni pale arsenal aliposhinda ile ngao ya hisani. ..apo ndo ilikuwa balaaLiverpool imefungwa tano bila hakuna anayejali..
Chelsea alianza ligi kwa kubugizwa tatu hakuna aliyejali..
Arsenal alichabangwa nne bila kama amesimama, hakuna aliyejali..
MUFC kalazimishwa sare ugenini kuna watu wanafanya sherehe na kukesha huku wakicheza muziki..
Ninaposema timu nyingine hazina mashabiki bali zina wenye chuki na MUFC huwa namaanisha!
Hahaha sasa man u ana ubora ganiKawaida yao, aliebora lazima atasemwa sana
Hahaha sasa man u ana ubora ganiacheni kujidanganya banaa....
Hahaha kweli STOKE CITY sio watu wazuriOllachuga oc: john terry mwamba mkataba ulipoisha timu nyingi za epl zilituma ofa ya kumtaka akapiga wazo kaona aston villa mahali sahihi japo wapo championship unajua kwa nini terry ana ndoo 6 aston villa 7 kwa hiyo akaona bora aende kwenye club kubwa
Tatizo mashabiki wa man u wanakelele sana yani mkishinda tu mtaani atuna amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea alivofungwa na barnley dunia nzima ilirindimaa ...maana sio kwa zile kelele zenu, kila baya lilisemwa ..wachambuzi uchwara kama akina Shaffih na wengine waliongea kadri ya uwezo wao. Hata asiye shabiki wa mpira alijua Chelsea imefungwa ..mbaya zaid ni pale arsenal aliposhinda ile ngao ya hisani. ..apo ndo ilikuwa balaa
Sasa nyie kuna watu hata hawajui kama jana mmecheza..man ilishaporomoka siku nyingi sana haina tofauti na QPR au Reading fc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kweli STOKE CITY sio watu wazuri
Sasa ndo umeongea nin apo ..
Hahaha sasa man u ana ubora ganiacheni kujidanganya banaa....
duh kumbe ni wagumu hvyo.Yaaa mou hajawah mfunga yule kocha na united haijapata ushindi pale Britannia kwa Mara ya tano
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu walikaza sana jana, ila na nyie poleni man city hana huruma kabisa. Nilipita kwenu kule kutoa pole zangu. Mwambie Salah next time akipata chanc afunge mapema
Sawa ndugu mchambuziYeah sure pale EPL nawaona Liverpool tu ndio watakaoambulia angalau sare hii round ya kwanza.
Na totenham kidogo ndio watakaotusumbua angalau kuambulia sare na sio kuondoka na Point,ila hawa wengine sioni atakayetoka salama.
Na kadri muda unavyooenda Mou anakwambia ndio anavyozidi kuona makali ya wachezaji wake.
Now tunatafuta Match Fitness na Chemistry ya wachezaji wetu,baada ya Match kumi moto utakuwa sio wa kusogelewa.
Bado natamani kuona tukifungwa na kusawazisha na hatimaye kushinda,bado natamani kuuona ule ushindi wa dakika za mwisho kama enzi za Sir.
Mou amewaambia wachezaji wake hasa washambuliaji na viungo msimu hataki Pressure,ni kumaliza mchezo ndani ya dakika 30 za mchezo kipindi cha kwanza,ili kutoa nafasi kwa timu kurelax na sisi mashabiki kuendelea kuagiza vinywaji bardi kwa raha na wengine kuendelea kununua Popcorn au kusoma Mwanasport.
Mabeki wameambiwa wahakikishe De Gea anakuwa likizo ndani ya mchezo,amefanya kazi kubwa sana misimu mitatu iliyopita now anatakiwa kupumzika akiwa uwanjani ikiwezekana awe ananingia na simu au magazeti aendelee kuperuzi kuhusu yanayoendelea duniani hasa ya kuapishwa kwa wabunge wa CUF,watengeneze ukuta kuuzidi ule wa Rio na Nemanja.
Pale kati,Matic ameomba pale aachiwe yeye,Pogba ametuhakikishia furaha na nadhani tumeanza muona Pogba wa Juve (New Scolse),yale magoli ya Nje ya 18 yalikuwa adimu tangu aondoke CR7 now sasa tutaanza kuyaona.
Yale magoli ya ajabu ajabu ya Dimitri berbetov soon Ibra ataendelea kutukumbusha.
Rashford sitaki hata kumuongelewa alichowafanya jana Slovakia sio mchezo naona Mou ataanza kufikiria kumpanga kati kama namba 10 na Mikh kurudi namba 7 tuone pasi za mwisho za kideo,mana sio attack zake.
Bado Form kwa Mikh na Matta hawa wakiwa on fire basi hamna haja ya kumuangalia Isco na Assecio mana ni wachanga kwa hawa mafundi,Mkubwa Fella Leo simzungumzii kabisa namuacha apumzike mana hata sijui ile namba anayocheza pale ni ngapi lakini ndio hivyo ibaki kuwa kiungo Holding Midfield wa juu.
Banch sitaki kuligusa mana Match ijayo tutaanza muona Ibra akiwa Banch.
Mou anatamani match zingekuwa zikichezwa kila baada ya siku mbili.
Mou anasema "We're on Fire).
[HASHTAG]#This[/HASHTAG] is our season.
##GGMOU.
Scofield.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea hawanaga tabia ya kutangaza ubingwa na 3. Inapigana adi tone la mwisho ikitambua kuwa lingi ya uingereza aina mwenyewe......Chelsea kishachukua ubingwa
Sasa ivi mmebaki na historia tu. Tumechukua makombe mengi kuliko timu nyingine. We are here for present and not past..hizo tunaziita zilipendwa...Diamond songSipati picha chelsea ndo angekuwa na makombe ya united 6 tu mnatapika hiv