Liverpool imefungwa tano bila hakuna anayejali..
Chelsea alianza ligi kwa kubugizwa tatu hakuna aliyejali..
Arsenal alichabangwa nne bila kama amesimama, hakuna aliyejali..
MUFC kalazimishwa sare ugenini kuna watu wanafanya sherehe na kukesha huku wakicheza muziki..
Ninaposema timu nyingine hazina mashabiki bali zina wenye chuki na MUFC huwa namaanisha!