Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yah!! Itamchukua muda kidogo kuweza kukop ila ni kipa mzuri, alijisahau tu kutoka golini
Mkuu De Gea siwezi kumlaumu maana yuko chini ya pressure kubwa, akisettle ni kipa mzuri.
 
Hii Sub. inastua kidogo babu anapenda sana kucheza kamali
 
Confirmation of those three changes. Cleverley, Evans and Jones replace Carrick, Ferdinand and Vidic in the United side.
 
Huyu lines man kilaza kweli

Dah mwaka huu mmesahau bahasha nini?

High defensive line kama ya Arsenal wtf?

Mkuu ongelea timu yako mbona hamchoki na watoto wa emirates yaani wakicheza maneno wasipocheza bado mnawafuatafuata hii inaonyesha nini?

Tuna safari ndefu kwa kipa.

Wacha kulialia Wine Romney yupo atarudisha tu.

Nyi wenyewe hamna kitu kuanzia kipa, beki, viungo hadi washambuliaji

Ohhh si ulichema tuje angalia kabumbu chacha malia vipi tena
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee pundits wote wanawasifu kwa soka la uhakika hongereni. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Reactions: Mbu
Goli zuri la smalling, timing nzuri sana.

Haya sasa mechi itaamka. Mancini anaweza kuomba msaada wa Aguero soon.
 
whaaaaaaaaaaaaaaaaat a goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal

Wacha fujo wewe angalia mpira sio goli la kusifia hivyo aishhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tunangoja la Wine chacha ..... ..... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Reactions: Mbu
Special goal... Haya sasa na ilo lilikuwa kosa la De Gea?
 
Naniiiiiiiiiiiii 2-2...mechi ni kali sana mashambulizi ya nguvu pande zote lakini MANU sasa hivi wana upper hand kama MANCITY wasipotulia watapigwa bao lingine muda si mrefu ujao.
 
Hakufunga Nani jamani mpeni Wine .... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee tutaona nani atacheka leo Manchester ...khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…