Manchester United (Red Devils) | Special Thread

The official Manchester City Twitter account reacted instantly to defend Balotelli. "He didn't rise to it." For the record, he did.
 
LMAO timu ambayo ilikuwa imejaza watu kama akina Ginola na kina Barthez na masuperstar wa kifaransa? Au unazungumzia timu ipi?
 
matokeo vp huku kwetu since morning ngeleja kafanya mambo
 
High defensive line kama ya Arsenal wtf?

...duuhhhh? haya bana.

Nawwamkua hapa. Habari za likizo wazee?
Kwema. Haya tuendelee kuelimishana kinachojiri.

Na picha zisikosekane tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…