Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Idadi ya magoli ambayo Manchester United imefunga katika dakika 15 za mwisho kwenye mechi za ligi kuu:
2015-16 (38 games): 9
2016-17 (38 games): 11
2017-18 (3 games): 6
Kwa msimu huu pekee tumefunga goli 6 ndani ya dakika 15 za mwisho. Sijui wengine mnaonaje ila kwa upande wangu natamani team ijitahidi "ku-kill" the game mapema zaidi ili hizo dakika 15 za mwisho tuwe tunacheza kutafuta magoli ya ziada na sio magoli ya ushindi.
Sipend tabia ya morinyo yan sub ni mata na martial tu
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Nyie tunawapa gemu tano tu..
Ya sita kuendelea mbele mnatakiwa mjiandae kisaikolojia.
Ndo imepita ivyoo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap!! Kwa hizi mechi 3 hamna tatizo maana hata hatujafungwa hata goli moja.Kwenye hizi mechi 3, hizo dakika za mwisho tumefunga magoli ya ziada.
Mimi naangalia hizi stats kwa msimu huu zipo chanya zaidi kuliko zilizopita.Idadi ya magoli ambayo Manchester United imefunga katika dakika 15 za mwisho kwenye mechi za ligi kuu:
2015-16 (38 games): 9
2016-17 (38 games): 11
2017-18 (3 games): 6
Kwa msimu huu pekee tumefunga goli 6 ndani ya dakika 15 za mwisho. Sijui wengine mnaonaje ila kwa upande wangu natamani team ijitahidi "ku-kill" the game mapema zaidi ili hizo dakika 15 za mwisho tuwe tunacheza kutafuta magoli ya ziada na sio magoli ya ushindi.
wale leicester city jana tuliwachezea style inayoitwa nasaka mke wangu, yaani inakuwa mwanzo mwisho speedWe jamaa kama paka shume, why mgumu kukubali kuwa Man utd kwa sasa ndio klabu bora Uingereza?
Mfano mzuri game ya jana, kama ingekuwa msimu uliopita either tungedroo au tungepigwa kabisa, sasa hivi ni kwamba tukianza kukutafuta hatuachi hadi dk 90 ziishe, hakuna kuremba wala kuridhika kiduanzi.
Ngoja tusubiri hizo game 6 ulizozisema najua utakuja na lugha nyingine.
Mimi naangalia hizi stats kwa msimu huu zipo chanya zaidi kuliko zilizopita.
It tells me that:
1.morali ya wachezaji ipo juu sana
2.team ina uchu wa ushindi
3.wachezaji hawakati tamaa
4.Wamejiandaa kwa ushindi muda wowote dakika yoyote.
5.Fergie time is back
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Mwenyewe nilivoona tu ma refaree wa jan yupo oliver nikasema kazi ipo apa...ila jana aliwabeba badae tukatumia uwezo wetu tukashindWakuu nafikir tumevunja rekodi ya kushinda mechi refa akiwa michael oliver huwa ni sare au tunadundwa kama nimekosea mnisahihishe huwa anatuumizaga sana huyu na yule alienda uarabun clutenburg
Umekubali blind na Valencia si wazuri kwenye cross bado unataka wao ndio wawe wapiga cross, serious hadi leo bado unamtegemea shaw kwenye kikosi? Shaw huyu huyu anaecheza mechi mbili then anarudi wodini,natural wingers wapi bhana,kwanza timu nyingi sasa hivi haziwatumii ..fullbacks ndo wanafanya hizo kazi kwenye mpira wa saivi..shaw akirudi najua atafanya mambo mengi sana... blind na valencia ni kweli wanapata chansi za kupiga krosi ila wanapiga mbaya...na sio kila timu utaifunga kwa kuwa na mawinga ambao ni natural...as long as timu inatengeneza nafasi nyingi basi amna tatizo kabisa..
pia napenda kuwapa pole mashabiki wenzangu kuhusu tukio la jana la kutokufunga magoli mengi,napenda kusisitiza kuwa halitajirudia tena hivi punde...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nafikir tumevunja rekodi ya kushinda mechi refa akiwa michael oliver huwa ni sare au tunadundwa kama nimekosea mnisahihishe huwa anatuumizaga sana huyu na yule alienda uarabun clutenburg
Na ya kwako pia. Pamoja sana!Mkuu nafurahi kukuona pande hizi...heshima yako mkuu
Ushindi ni ushindi tu ikumbukwe Leicester walipaki mabasi mawili hadi tulipowafungaUpo sawa kabisa.
Jana nilikuwa kwenye harusi, nikawa nafuatilia kupitia livescore.
Nilivyoona tumeshinda goli mbili nilipooza sana.
Huwa siridhiki na magoli kabisa., tukishinda 4 ntaanza kujiuliza kwanini tusishinde 6 au 7?
Ni nafasi za mbio nyingi na kuchoka sana. Kupumzika muhimuMkuu atoke bailly au matic nn? Zile sub zinakuwa vizur kwa sababu idara zao zina watu wengi benchi
Teh teh tehwale leicester city jana tuliwachezea style inayoitwa nasaka mke wangu, yaani inakuwa mwanzo mwisho speed
Ronaldo ni mchezaji ambaye ameshinda karibia kila kitu katika maisha yake ya soka kasoro kombe la dunia, ametaja list ya wachezaji ambao wanaweza kuwa wachezaji bora wa dunia kwa siku za usoni.
“Nani anaweza kuja kunishinda kuwa mchezaji bora zaidi? hilo ni swali zuri naona baadhi yao ambao wanaweza fanya hivyo ni Marco Asensio, Kylian Mbappé, Neymar, Ousmane Dembele, Eden Hazard, Marcus Rashford na wengine baadhi”>>> Ronaldo
Dembele nimemuelewa sanaRonaldo ni mchezaji ambaye ameshinda karibia kila kitu katika maisha yake ya soka kasoro kombe la dunia, ametaja list ya wachezaji ambao wanaweza kuwa wachezaji bora wa dunia kwa siku za usoni.
“Nani anaweza kuja kunishinda kuwa mchezaji bora zaidi? hilo ni swali zuri naona baadhi yao ambao wanaweza fanya hivyo ni Marco Asensio, Kylian Mbappé, Neymar, Ousmane Dembele, Eden Hazard, Marcus Rashford na wengine baadhi”>>> Ronaldo
Wide player wenye nao wanaringa sasa tufanyeje. Tulitaka kumsajili Perisic Inter wamedinda inabidi twende mzigoni na rasilimali watu iliyopoUmekubali blind na Valencia si wazuri kwenye cross bado unataka wao ndio wawe wapiga cross, serious hadi leo bado unamtegemea shaw kwenye kikosi? Shaw huyu huyu anaecheza mechi mbili then anarudi wodini,
Msimu uliopita tulikua tunapata tabu sana kuzifunga timu zinazo kaa nyuma ya mpira, mechi nyingi ziliisha sare sababu tulikua hatuna mtu wa kuwafungua mabeki na kupiga cross za maana, hili tatizo limeonekana pia jana hasa kipindi cha kwanza, tatizo huu ushindi wa mechi tatu umetutia upofu tunajiona tumekamilika kila idara. Kama kweli tunataka tuwe real tittle contender tunahitaji wide player angalau mmoja kwenye kikosi.
Dembele nimemuelewa sana