Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Pogba alikwatuliwa karibu na peneti lakini refa kameza
Duh hesabu zimekataa kipindi cha kwanza....tusubiri raundi ya pili
Ha ha ha ha uchokozi sasa mkuuHawa jamaa wana Mungu sana mpaka mpira unakwenda mapumziko hawajafungwa tuu
Ila hata iweje watamjua Lukaku ni nani
cc cute b
hahaaaaaaaaHata wenyewe watakuwa hawaamini kuwa mpaka sasa hawajafungwa tuu