marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,320
Apo kundi gumu ni C na H tu ..mengine yote ni kuteleza tu..
Basel walishatufunga enzi ya fergie hawa tena walivaa jezi inayofanana na barcelonaKundi A,
Benfica
Man Utd
Basel FC
.
.
Loading wa mwisho. So far kundi sio gumu sana.
Na kwa kutufunga huko, hatuku-qualify kwenda 16 bora. Tukaelekea Uefa Europe nako tukatolewa na Athletic Bilbao.Basel walishatufunga enzi ya fergie hawa tena walivaa jezi inayofanana na barcelona
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Shaquir na Fei walitupgia mpira mkubwa Sana... halafu vidic akaumia.... hawa Basel siyo mchezo lazima tuwapige nyingi kama zile tulizo wahi kumpiga RomaBasel walishatufunga enzi ya fergie hawa tena walivaa jezi inayofanana na barcelona
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Bilbao ya akina Herrera na Martinez daaah ilijaa vipaji tupu aiseeeeeNa kwa kutufunga huko, hatuku-qualify kwenda 16 bora. Tukaelekea Uefa Europe nako tukatolewa na Athletic Bilbao.
Ilikuwa Noma sana, park alikuwa anaanguka anguka tu uwanjaniAngalizo muhimu hili![]()
Inabidi tukaze Safari hii, naona lindloef anaenda kukutana na timu yake ya zamaniBilbao ya akina Herrera na Martinez daaah ilijaa vipaji tupu aiseeeee
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
kusajiliwa tena kwa Ibrahimovic tafsiri yake ni kwamba rashford ndiye winger wa kudumu msimu huu hususan round ya pili na uwezekano wa kusajiliwa perisic ni 35%.Wakuu Huu Usajili Wa Zlatan Una Manufaa Kwetu? Kuna Wataalamu Wetu Wachanga Wanaweza Kupoteza Namba Wasiwasi Wangu Kwa Timu Yetu Nilikuwa Naona Tupate Winga Mmoja Mzoefu Mwenye Mbio Ngoja Tuone Ila Sina Imani Nae Hata Kidogo.
upo sahihi sana, naamini mourinho atazitumia mechi za ugenini kuwapa nafasi michael carrick, lingard, lindeloaf, perreira kwa sababu timu zote zikija nyumbani zitaacha point 3 kwenye upanga wa lukaku akishirikiana na wachinjaji watakatifu antonio martial, mata, pogba, mkhitaryan,bailly na rashford.Ukiondoa safari ndefu ya kwenda kuwavaa CSKA Moscow Benfica na Basle hakuna upinzani
Safari ya Moscow na baridi yake hukinzana na mahitaji ya EPL
Timu tutakazokutana nazo katika ligi zitatarajia uchovu utawainua lakini ukubwa na ubora wa kikosi utawashangaza
Wachezaji wanahitaji kupumzika, zaidi sana kutazama uwanjani na akiingia arekebishe makosa. Kingine inaweza kuwa aina ya uchezaji ikabadilika uwanjani na ukamwona anag'aa, labda kwa kulishwa mipira hasa kama hapo kati pako sawa.Hamna mchezaji pale, na kama mou atamtegemea kama msimu uliopita tutegemee maumivu mengine kwa kua na striker butu, tutegemee tene droo nyingi za 1:1, 0:0, sijui kwanini mou anamg'ang'ania
Huyu Lema , Ni Mangi ???Thomas Lemar prefer to join Manchester United over Arsenal. Monaco are willing to sell if his £60m valuation is met. [Duncan Castles] MUFC