Sasa mbona mapema kaenda kuwachungulia wapinzani[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Mr upara ndo mana hampendi mou aisee ndo kwanza ligi inaanza yeye kashaenda kuangalia mechi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema mkuu atafunga next week ...sasa Burnley uoni kama alibebwaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama angekua mzima zlalan hamna mchezaji tena pale, nawashangaa mnaoshangilia kutaka kupewa mkataba mpya
Timu ina madogo hadi inafurahisha rashford,martial,lingard,pogba,bailly,shaw,lukaku
wamerudi[emoji3][emoji3]
hivi kwanini unaona raha sana kuvutana na mashabiki wenzako?yaani wewe asubui mchana jioni usiku mpaka kunakucha tena kazi kubishana na wenzako tu!!Muliokua mukisema rooney kaisha na nibora zlatan kuliko rooney naona mnaona aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kla mtu ana hisia zake, ila jamaa kaongea pointhivi kwanini unaona raha sana kuvutana na mashabiki wenzako?yaani wewe asubui mchana jioni usiku mpaka kunakucha tena kazi kubishana na wenzako tu!!
kwani mimi nimepinga alichoongea mkuu??fuatilia ukweli wa nilichomuambiaKla mtu ana hisia zake, ila jamaa kaongea point
Zile goli zimerudi tukiwa wangapi uwanjani.?Mkuu Mwenzio Man City Kalambwa Kadi Nyekundu Ya Mapema Kakomaa Na Kukomboa Goli Wewe Ulikuwa Hom Hapo Hapo Had Dakika Ya 40 Ushakula Chuma 3 Toka Kwa Burnley Upooo.
hivi kwanini unaona raha sana kuvutana na mashabiki wenzako?yaani wewe asubui mchana jioni usiku mpaka kunakucha tena kazi kubishana na wenzako tu!!