Nilikupinga kwa kutaka kulinganisha Chelsea na Arsenal. Wewe umeleta sababu za makombe nikakupinga kwa sababu hiyo. Mkuu record zipo tuu na zipo ili pia zivunjwe sasa kama umekariri ukubwa watimu ndio upo hapo, namimi nakwambia kaa hapo hapo.
Sisi tunaangalia nini unafanya sasa hivi? Boost uwezo wako wa kufikiri akili isiwe DORMANT.