Haya haya waungwana, Pazia la ligi kuu ya England linafunguliwa hapo Jumapili.
Kutakua na mchezo wa Ngao ua Hisani kati ya man u na Man city,
Wenzangu wa man u najua mnajua tayari Kombe tunalo!!!
Historia inaonyesha mshindi wa ngao hii ya hisani ndio mara nyingi anachukua Ubingwa!!
Waungwana mnaonaje hili?