Tott kwangu ni timu ya kawaida sana......huwezi kuwa na wachezaji wasiojua kuamua matokeo uwanjani wanazurura tu mpira mwingi halafu hauna faida.....mkubwa atabaki kuwa mkubwa tu Chelsea wamewaacha wacheze weeeeee mwishoni ubao wa matokeo upo upande waoWewe unamfunga west ham alafu unajitabiria ubingwa
Mfunge kwanza Tottenham. ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Target ya Mou On season ni kuchukua makombe yote F. A,EPL na UEUFA kuvunja rekodi ya Sir Alex ya 99, lakini kubwa zaidi kushinda EPL kwa point zaidi ya 95 ili kuvunja rekodi yake aliyoiweka Chelsea katika msimu wa 2003/4 kwa kufungwa Match 1 moja tu.
Nguvu akili na muda anoutumia Rashford huwa kazi nyepesi kwa Martial.Nikimuonaga martial anafunga najisikia raha sana aisee... Still tupo kwenye 4G
Sent From Heaven
Kuna sababu ya Uingereza hapo na hapo England ndio anaonekana kama mchezaji wao wa kutumainiwa kwa sasa hivyo anadaliwa kuja kuchukua nafasi ya Rooney n. k, kwa sasa Waingereza hawana mchezaji wa kumbrand kupambana na akina Neymar.rashford naona kama anakuwa overated sana..martial ni mtulivu sana anapopata chansi..so ni best kuliko rashford..so far amecheza dakika hata 30 hazifiki mechi mbili ila kafanya kweli..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado anahisi hapewi umuhimu katika timu na kocha licha ya kipaji na uwezo alionao, anatamani kucheza zaidi ya hapa, anatamani kuwa Katika first Eleven.
Nakubaliana na waliosema atolewe leo na mimi ni mmoja wao alishindwa kuwa mbadala pale kipindi cha kwanza, alikosa mbinu mbadala hadi Swansea walivyobadilika,tatizo ni nani wa kuja kumbadilisha kwa nafasi anayocheza sasa licha ya kutengeneza nafasi mbili za magoli.Huyu nae watu wengi walikuwa wanasema atoke. Wengi tunasahau mpira dakika 90.
Babu Ibra atakuja kuwa mshambuliaji wa ziadaNakubaliana na waliosema atolewe leo na mimi ni mmoja wao alishindwa kuwa mbadala pale kipindi cha kwanza, alikosa mbinu mbadala hadi Swansea walivyobadilika,tatizo ni nani wa kuja kumbadilisha kwa nafasi anayocheza sasa licha ya kutengeneza nafasi mbili za magoli.
Bado tunamdai Mikh kutokana na uwezo aliouonesha katika Bundasliger msimu wa 2015/16 akiwa kama kiungo mshambuliaji.
Note. Now tuna mshambuliaji mmoja wa uhakika Lukaku hatuna mbadala wake katika michezo yote kama hatutosajili mshambukiaji mwingine.
Kuna haja ya kumuandaa Rashford na Mikh pale mbele kama washambuliaji wasaidizi anapokosekana Lukaku na rotation ikiaanzia kwao, Either kwa kuanza wote pamoja ama kwa kupokezana kati ya Mikh na Rashford kama hatutosajili mshambukliaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asije akamnyang'anya Martial jezi namba tu.HaahahahaBabu Ibra atakuja kuwa mshambuliaji wa ziada
Ibra nadhani atapewa namba saba bado haina mtu...
Nakubaliana na waliosema atolewe leo na mimi ni mmoja wao alishindwa kuwa mbadala pale kipindi cha kwanza, alikosa mbinu mbadala hadi Swansea walivyobadilika,tatizo ni nani wa kuja kumbadilisha kwa nafasi anayocheza sasa licha ya kutengeneza nafasi mbili za magoli.
Bado tunamdai Mikh kutokana na uwezo aliouonesha katika Bundasliger msimu wa 2015/16 akiwa kama kiungo mshambuliaji.
Note. Now tuna mshambuliaji mmoja wa uhakika Lukaku hatuna mbadala wake katika michezo yote kama hatutosajili mshambukiaji mwingine.
Kuna haja ya kumuandaa Rashford na Mikh pale mbele kama washambuliaji wasaidizi anapokosekana Lukaku na rotation ikiaanzia kwao, Either kwa kuanza wote pamoja ama kwa kupokezana kati ya Mikh na Rashford kama hatutosajili mshambukliaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unamfunga west ham alafu unajitabiria ubingwa
Mfunge kwanza Tottenham. ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila waalimu wenzangu wa kwenye mitandao ya kijamii tutunze maneno...Rashford bado mdogo sana na anapitia kwenye kipindi cha mabadiliko.
Pia huyu anapokuwa uwanjani anafanya beki ya timu pinzani haiwi stable....wanamuangalia sana ...sometime ndo inasaidia na magoli.
Mwisho wa siku, tunataka Ushindi kwa timu.