MsA11
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 303
- 582
Waambie na wenzio huko jikoni kipimo cha chakula size yetu tu siku hizi wageni hawaji kwetu sijui tumepunguza ukarimu! ila muongeze kipimo kidogo kwa wale wageni wenye roho ngumu hata ukiwaambia wenye nyumba wametoka hutoa jibu nitawasubiri hata hapa nje weye nilitee kidogo nikae pale penye kivuli.acheni masihara jamani, ni kweli ama???
woyoooooo
HahahahahahahaWaambie na wenzio huko jikoni kipimo cha chakula size yetu tu siku hizi wageni hawaji kwetu sijui tumepunguza ukarimu! ila muongeze kipimo kidogo kwa wale wageni wenye roho ngumu hata ukiwaambia wenye nyumba wametoka hutoa jibu nitawasubiri hata hapa nje weye nilitee kidogo nikae pale penye kivuli.
Pana watu ving'ang'anizi (George masatu )kweli lazima watimbe nasi tutawakirimu.Hahahahahahaha
Nami nishakwambia hivyo vi words vyako sivimarkMimi nimeshasema Dec
Uta mark tu. AlaaaahNami nishakwambia hivyo vi words vyako sivimark
leo nimeamini, wageni wetu wanapendaga kuja wakati wa majanga tu. ila usijali tutafanya kama ulivyoagiza.Waambie na wenzio huko jikoni kipimo cha chakula size yetu tu siku hizi wageni hawaji kwetu sijui tumepunguza ukarimu! ila muongeze kipimo kidogo kwa wale wageni wenye roho ngumu hata ukiwaambia wenye nyumba wametoka hutoa jibu nitawasubiri hata hapa nje weye nilitee kidogo nikae pale penye kivuli.
Hating kitu bila sababu ni kitu kibaya sana,ameona hamna cha kuiponda utd leo kaamua atafute kasoro nyingine ambayo si ya kimpira ila tumsamehe tu na tuombe msimu huu Man utd waendelee kuwavuruga wapinzani,huu mwanzo tu na bado. GLORY GLORY MAN UTD.Mi amenishangaza sana sijui kwann waafrika tupo hivi
Wanaletwa na umbea mkuu. Wanajua kabisa vitimu vyao ni vitoto kwetu ila jua siku zote mtoto hupenda sana kushindana na mkubwa na jio mkubwa kushindana na mtoto. Wasipokuja huku hawaishi vizuri. Angalia Threads zao huko zimedorora sababu hawana jipyaUkitaka kujua kwmb Man U ni timu kubwa angalia the way watu wanatoka katika timu zao na kuja kubwabwaja kwenye jamvi la United
kama ni timu mbovu kinachowaleta huku ni nini wajameni......
Sent using Jamii Forums mobile app
leo nimeamini, wageni wetu wanapendaga kuja wakati wa majanga tu. ila usijali tutafanya kama ulivyoagiza.Waambie na wenzio huko jikoni kipimo cha chakula size yetu tu siku hizi wageni hawaji kwetu sijui tumepunguza ukarimu! ila muongeze kipimo kidogo kwa wale wageni wenye roho ngumu hata ukiwaambia wenye nyumba wametoka hutoa jibu nitawasubiri hata hapa nje weye nilitee kidogo nikae pale penye kivuli.
asante sana.
Tukimaliza hili litakuja lingine pana kamati inaundwa ya kuratibu safari zenu za kwenda kwa majirani maana wanalalamika sana kwa maangamizi mnayo wapelekea sasa itabidi tuwe tunawaandikia ya kwenda kuhani msibani ili msilete maafa zaidi.leo nimeamini, wageni wetu wanapendaga kuja wakati wa majanga tu. ila usijali tutafanya kama ulivyoagiza.